MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
- #161
GEoff leo umenichekesha ila mbona hadi umeamua kwenda page by page -kuna kitu unatafuta ili uhalalishe kwa MSHIKI nini?
hehehe!nikiongeza neno hapo nitakuwa mnaa!wakinamama wenye-serious commitments zao utawaona tu!SENKSI SENKSI SENKSI!....kasibitishekwa kweli mimi nisamehewe tu ila simu ya my hasbendi nashika muda wowote naotaka, lakini pia habari ya amezima au hajazima sijawahi kuifikiria wala hainisumbui. Hata hivyo sipendi simu au message za usiku ziwe zangu au zake coz zinadisturb usingizi na mengineyo. so ningependelea simu zote zizimwe usiku.
mama hauzeeki!hiyo ni NATURE!...mtuache wanaume tudumishe milaaaz..adhawaisi nani atakayepumzika na ma-baamedi?😀😀cku hizi mie cjui ndio nazeeka, wala cmjali na licmu lake, azime awashe alalie chini ya mto atajijua mwenyewe, mwambie mdogo wetu aachane na cmu ya huyo huyo shem, akili zake azihamishie kwa hao twins wetu...mweh
HIVI WE MWANAMAMA...?!unaweza kuwa na muda nikukutanishe na mshiki umpe vyointi?😀Unajua mtu mzima hafundishwi what is right and what is wrong. At that stage a whole grown up man huwezi kumfundisha. we are not their mothers for God's sake, so we expect respect from them at least, na hiyo nayo akishindwa thats another case. Cheating they will always cheat that one is for the record! I would just advise ladies to relax and enjoy this life while it lasts and not spend your days worried about a full man who knows what he is doing. Got no time for that and I thank God.
kwaresma njema kiongozi....😀😀MJ1 mpenzi., mi msimamo wangu nimeshauweka kuwa huwa wote tunazima simu...na tukiwa mbali mbali ndo hatuzimi kwa vile nimmiss saa yoyote au dharuara basi inakuwa rahisi
na ikitokea kuwa inabidi izimwe unapeana taaria kabla. ssuala la kushika au kutoshika hilo ni jingine an anadhani haoa tumeshaliongelea sana..hapa ishu ni kwa nini simu izimwe usiku
na pi nilisema kwa vile anazima akiwa likizo kwa mkewe that is perfect kwa sababu anahitaji kupumzika.
.
mdogo wako anahitaji kuongezewa imani ya uaminifu kwa mumewe na yeye pia kujiamini. Mlete kwangu.
duh nimekubali so na mie nawezaitumia kama njia ya kumwonyesha hubby jinsi ninavyompenda?Ni lini wanawake watajua kuwa waume zao wanawanyima kugusa simu zao kwa kuwa wanawapenda sana...........................???
Yaani DC unefafanua ungekuwa umenitendea haki kweli kaka yangu please. It seems una elimu hapa umeibania
Unajua mtu mzima hafundishwi what is right and what is wrong. At that stage a whole grown up man huwezi kumfundisha. we are not their mothers for God's sake, so we expect respect from them at least, na hiyo nayo akishindwa thats another case. Cheating they will always cheat that one is for the record! I would just advise ladies to relax and enjoy this life while it lasts and not spend your days worried about a full man who knows what he is doing. Got no time for that and I thank God.
hakuna sayansi kwenye mahusiano...!chukua biblia takatifu au kuraan anza kuwasoma watu mule utachoka...!give us scientifically evidence to prove ur point... mie sipekui simu yake lakini doesnt mean I am OK with him screwing other women... 🙄 kama anafanya siri siwezi kujua lakini akianza dharau ya kinionyesha then its a totally different issue..
"Dont try this at home" is the rule to be applied remember.hahahah, ujinga ujinga upo tu, we usimfatishe mwenzio itakula kwako lol
duh nimekubali so na mie nawezaitumia kama njia ya kumwonyesha hubby jinsi ninavyompenda?
"Dont try this at home" is the rule to be applied remember.
unajua chriss wewe una sheria fulani ngumu sana kama ni kweli upo serious ninayoyasomaga kwako...mie ungekuwa umeshanipa talaka zamanii....unavutia sana upande wako!
Aksante nilijua tu kuna hazina iliyojificha kwenye post yako.MJ1,
Kuna kipindi kimoja alionesha Oprah, kiliitwa; "Listen to your heart". Alikuwa anawahoji watu ambao waliona dalili za hatari kwenye mahusiano lakini wakadharau. Yaliyowapata ni makubwa. Kila kitu kina indicator signs. Na hii ya mshikaji wako ni mojawapo. Kwa hiyo hapo mambo yalivyo siyo mswano kabisa. Ningekuwa mimi ningemnunulia simu nzima isiyo na matatizo na charger ili tuone atasemaje. Kuna mengi zaidi ya charger na ukizingatia kuwa ni tabia iliyozuka ghafla. Plse mwambie mama achunge mzigo wake wa ndani kwa karibu. Mambo yalishaharibika siku nyingi sana. Hizi ni terminal signs. Wakurya wanasema kuwa "amang'ana gasirikire". Asifanye mchezo achukue hatua haraka.
Mimi nilidhani simu ya mtu ni kama jina lake au dole gumba lake, yaani its a personal property and has got nothing to do with anybody else. Nahisi katika vitu vyote, simu inawezakana ikawa siyo ''matrimonial asset''...(!?)
Wanaofanya kazi kwenye makampuni za simu watusaidie, je wakati wa kusajili namba za simu, kuna hata ''couple'' moja ilikwenda kusajili namba ya simu moja ajili ya watu wawili? Say ''Mr.& Mrs. Masaki'' (!?)
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???Mimi nilidhani simu ya mtu ni kama jina lake au dole gumba lake, yaani its a personal property and has got nothing to do with anybody else. Nahisi katika vitu vyote, simu inawezakana ikawa siyo ''matrimonial asset''...(!?)
Wanaofanya kazi kwenye makampuni za simu watusaidie, je wakati wa kusajili namba za simu, kuna hata ''couple'' moja ilikwenda kusajili namba ya simu moja ajili ya watu wawili? Say ''Mr.& Mrs. Masaki'' (!?)
Aksante nilijua tu kuna hazina iliyojificha kwenye post yako.
nyamayao, Carmel, bht, Kaizer na wengineo wote please hebu tutafakari upya. Muda wa kukaa na kuimba wanaume ndivyo walivyo umeshapitwa na wakati kwetu kina dada tutakuja angua vilio vya mbwa midomo juu machozi chini
Wakaka- Napend amjue kuwa si ufahari wala ushujaa kuchezea maisha yako, ya mama watoto wako huku ukihatarisha life za watoto wenu. Usichukulie kuwa mtiaji nje ndo ufahari no wewe kwangu ni kidume cha mbegu no matter how it comes so huhitaji kujustfy kwa watu wa nje kuwa we kidume
Madhara yake ni makubwa sana ikiwemo ugonvi na picha mbaya mnazoziacha nyuma mnapokuwa mmetangulia mbele za haki pale kina mama tunapoletewa watoto wa nje msibani.
Najua mtasema ukimwi hata siye tunawezakuwaletea nakubali lakini kama mlivyokubali kwenye thread hii mnahalalisha si vizuri.
Hivi X-pin uko tayari kumletea matesha wako kipenzi magonjwa ya zinaa pamoja na UKIMWI? Mtasema mkiwa nje mnacheza salama msitudanganye hapa
Geoff uko tayari kweli MSHIKI uliyemfungia safari hadi Makambako umtende ya kumtenda? Kina Kaizeer, n.k jamani fikirini mara mbili mbili
Kina dada- nyamayao, carmel, bht, charity, na wengineo kweli mtajisikiaje pale mtakapokuwa mmejitunza kwa uaminifu wenu ndani ya ndoa halafu ghafla maisha yanapinduka juu chini chini juu? Pale ambapo baba watoto anapoanguka ghafla ikagundulika ni AIDS imesababisha na wewe ukajikuta umeambukizwa. Wanao wanabaki wenyewe
Na mbaya zaidi unakumbuka zile signs ambazo ulikuwa unaonyeshwa ukapuuzia?