Swali

Swali

Kaizer, X-pin na kina kaka wote mtajisikiaje mpenzi/wife akifanya hayo?
 
mamaa wa 'mabiti'....hahaaaa!! sasa utamfanyaje kwa mfano mamii......
wewe tukiwekwa boma moja tutaharibu ile mbaya......

ananijua vzr dear tena vizuri sana, kuna wakati alikimbia zali, alivyoniona tu najitokeza mahali yeye ndio alitimuka, ilikuwa bahati yake, yaani unaharibu mpaka ukoo wake wanamkalisha chini wakimshawishi ackurudie, c alinichumbia mwenyewe bwana akiniona mrembo leo iweje?...jibu ni kuharibu tu.
 
Very well said Carmel dada but may be I worry too much juu ya kuletewa magonjwa yasiyotibika kwa sababu nimewaona wengi wa karibu ambao waume/wake wamewaletea UKIMWI ndoani na sasa wanajuta. Kuna mmoja aliulizwa unahisi ni wapi mumeo alikoutoa akajibu kwa wanawake zake nafikiri kwa sababu alikuwa na tabia zisizoeleweka mie nikampuuza!!
Kuhusu magonjwa hiyo ishu nyingine, kwa wale wenye imani ni kuomba Mungu. Coz really, utafanyaje? uko ndani ya ndoa una wasiwasi siku zote, unahisi mwenzio anacheat, iwe kweli au si kweli, siku zote wewe una wasiwasi tu huna uhakika. Hayo si maisha mazuri ya kuishi hata kidogo, kama unadhani unaogopa sana ni bora mtu asioe au kuolewa, that way unaishi freely ukijua ugonjwa hutaupata au kuwa sister kabisa au padri (wa ukweli). Otherwise yote ni probability, only God knows.
 
Very well said Carmel dada but may be I worry too much juu ya kuletewa magonjwa yasiyotibika kwa sababu nimewaona wengi wa karibu ambao waume/wake wamewaletea UKIMWI ndoani na sasa wanajuta. Kuna mmoja aliulizwa unahisi ni wapi mumeo alikoutoa akajibu kwa wanawake zake nafikiri kwa sababu alikuwa na tabia zisizoeleweka mie nikampuuza!!

hapo ni pagumu dear, na hawa wetu wa safari safari ndio kabisaaaa...tuombeane tu! na mie nikifikiriaga hapo ndio napataga wazo la kuharibu mazimaaaa.
 
ananijua vzr dear tena vizuri sana, kuna wakati alikimbia zali, alivyoniona tu najitokeza mahali yeye ndio alitimuka, ilikuwa bahati yake, yaani unaharibu mpaka ukoo wake wanamkalisha chini wakimshawishi ackurudie, c alinichumbia mwenyewe bwana akiniona mrembo leo iweje?...jibu ni kuharibu tu.
hahaaaaa!!! mpaka familia inakugwaya.....
haposasa penzi linageuka shubili with time huh!!! hawa viumbe wagumu sana...
 
hii sredi imekimbia kiasi hichi???!...
naomba msianzishe ingine basi niipitie pitie kuanzia mwanzo
 
Sisters Carmel na nyamayao jamani yaani maisha ya ndoa kwa kweli nashindwa kuyaelewa. Unajua itafika mahali tutachoka nasi tuwe tunaharibu tu. Bora nyamayaio mwenzetu we alishakuelewa ulivyo so ujinga jinga hawezithubutu.
 
wat is there that happens in your family and friends that u don wanna him poke his nose into for instance huh....??? (hizi ndio suspicions mnajenga kwa wenzi wenu wa ndoa)

many things dear plenty of them... for example some family issues... and my friends secrets...
 
hii sredi imekimbia kiasi hichi???!...
naomba msianzishe ingine basi niipitie pitie kuanzia mwanzo

Ahaa! Ngoja nikakamate valuu spidi ipungue. Anzia page ya nane adhawaiz leo hutapata muda wa kukaa kaunta!
 
Simu ya mke wangu ni mali yangu. You knoo woram seyying? Lakini ya kwangu ni mali yangu halali kabisa!

unajua chriss wewe una sheria fulani ngumu sana kama ni kweli upo serious ninayoyasomaga kwako...mie ungekuwa umeshanipa talaka zamanii....unavutia sana upande wako!
 
inaonekana kwamba wakina-mama wamekubaliana na dhana ya wanaume ya ''KUWA NA VIMADA''..(ni baada ya kupitia page mbili tu)..!INGAWA WAMESISITIZA IWE SIRI!😀😀
muswada nitauhamishia nyumbani kwa mshiki nione anasemaje

naenda na page ya tatu sasa....
 
Duh ngoja nimcal nimwambie aachane nayo mambo ya simu kuzimwa maana anawezapata presha bure!! Mie naye kujifanya mnoooooko nakaba hadi kivuli ah

Babu X-pin mie siolewi ng'o kama mabo yenyewe ndo haya
naona mtoa mada AMEAMUA KUKATA MZIZI WA FITINA!
AHSANTENI WA-KINA MAMA KWA KUTURUHUSU KUDUMISHA MILA ''kwa kufanya siri''..mbarikiwe sana
 
Sisters Carmel na nyamayao jamani yaani maisha ya ndoa kwa kweli nashindwa kuyaelewa. Unajua itafika mahali tutachoka nasi tuwe tunaharibu tu. Bora nyamayaio mwenzetu we alishakuelewa ulivyo so ujinga jinga hawezithubutu.

cku zote mwanaume ni unavyompeleka, ukimpaleka ki uoga/kumuogopa imekula kwako, lazima atakuburuza tu, sie wengine tunahoji jicho kavu!
 
Kaizer, X-pin na kina kaka wote mtajisikiaje mpenzi/wife akifanya hayo?

MJ1 mpenzi., mi msimamo wangu nimeshauweka kuwa huwa wote tunazima simu...na tukiwa mbali mbali ndo hatuzimi kwa vile nimmiss saa yoyote au dharuara basi inakuwa rahisi

na ikitokea kuwa inabidi izimwe unapeana taaria kabla. ssuala la kushika au kutoshika hilo ni jingine an anadhani haoa tumeshaliongelea sana..hapa ishu ni kwa nini simu izimwe usiku

na pi nilisema kwa vile anazima akiwa likizo kwa mkewe that is perfect kwa sababu anahitaji kupumzika.
.

mdogo wako anahitaji kuongezewa imani ya uaminifu kwa mumewe na yeye pia kujiamini. Mlete kwangu.
 
inaonekana kwamba wakina-mama wamekubaliana na dhana ya wanaume ya ''KUWA NA VIMADA''..(ni baada ya kupitia page mbili tu)..!INGAWA WAMESISITIZA IWE SIRI!😀😀
muswada nitauhamishia nyumbani kwa mshiki nione anasemaje

naenda na page ya tatu sasa....
Geoff ndo picha niliyoipata hata mimi imenibidi niwe mpole tu na dunia yangu ya kufikirika!
 
Achaneni na cm za waume zenu nyie akina dada.
Kama hamuamini, hebu PM nitakueleza ubaya wake. I have been there.
naona SKULI-METI umefanya finishing ''ya maana''!😀😀
nadhani leo nitakuwa na mengi ya kujadili na mshiki...

naonda page ya sita
 
unajua chriss wewe una sheria fulani ngumu sana kama ni kweli upo serious ninayoyasomaga kwako...mie ungekuwa umeshanipa talaka zamanii....unavutia sana upande wako!

Sheria yangu ngumu zaidi uliyoiona? Yule mama mbona hajawahi tandikwa kibao? Unataka niwadanganye. Ukweli ndio huo. Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Na Mke ni Mali Halali ya Mumewe. Ukishakubali UKWELI huu, Yaani UKWELI MTUPU, ndoa wala haitakusumbua. Wala hutahangaika kupekua simu ya hubby wako. Mtaishi raha mustarehe.
 
Back
Top Bottom