Swali

Swali

lakini ukweli ndio huo carmel, wanayafanya sana hawa watu...sasa tufanyaje?
Unajua mtu mzima hafundishwi what is right and what is wrong. At that stage a whole grown up man huwezi kumfundisha. we are not their mothers for God's sake, so we expect respect from them at least, na hiyo nayo akishindwa thats another case. Cheating they will always cheat that one is for the record! I would just advise ladies to relax and enjoy this life while it lasts and not spend your days worried about a full man who knows what he is doing. Got no time for that and I thank God.
 
wat is there that happens in your family and friends that u don wanna him poke his nose into for instance huh....??? (hizi ndio suspicions mnajenga kwa wenzi wenu wa ndoa)

Mamushka unaonaje ukihamia jukwaa la malijendi? Hicho ki-blurey wengine tumesoma mpaka form two B sekondari ya kata afu ubao ukawa mweupe!
 
Unajua mtu mzima hafundishwi what is right and what is wrong. At that stage a whole grown up man huwezi kumfundisha. we are not their mothers for God's sake, so we expect respect from them at least, na hiyo nayo akishindwa thats another case. Cheating they will always cheat that one is for the record! I would just advise ladies to relax and enjoy this life while it lasts and not spend your days worried about a full man who knows what he is doing. Got no time for that and I thank God.[/QUOTE]

This is a wise one my dear!!
 
Unajua mtu mzima hafundishwi what is right and what is wrong. At that stage a whole grown up man huwezi kumfundisha. we are not their mothers for God's sake, so we expect respect from them at least, na hiyo nayo akishindwa thats another case. Cheating they will always cheat that one is for the record! I would just advise ladies to relax and enjoy this life while it lasts and not spend your days worried about a full man who knows what he is doing. Got no time for that and I thank God.

Ngoja niikonsalti TUKI afu nikuje nikujibu! LOL!
 
exactly ma dear...ndio mana mie nasemaga atumie akili zake zote kama anaona ni muhimu kukidua nje bac nicmfume, nikimfuma naharibu mazima, atumie zote alizotoka nazo tumboni kwa mamake.
 
Mamushka unaonaje ukihamia jukwaa la malijendi? Hicho ki-blurey wengine tumesoma mpaka form two B sekondari ya kata afu ubao ukawa mweupe!

aaaaah kwani wao waweze wana nini hata sisi tushindwe tuna nini??

twisheni hiyo ya Bluray mwenyewe wakati akiwa likizo hapa bongo......nilikuwa mwanafunzi peke yangu, si ndo ile ada nilikupmba biggie!!!
 
Unajua mtu mzima hafundishwi what is right and what is wrong. At that stage a whole grown up man huwezi kumfundisha. we are not their mothers for God's sake, so we expect respect from them at least, na hiyo nayo akishindwa thats another case. Cheating they will always cheat that one is for the record! I would just advise ladies to relax and enjoy this life while it lasts and not spend your days worried about a full man who knows what he is doing. Got no time for that and I thank God.

well said Carmel (thumps up)
 
Mimi mme wangu akifanya hivi nitamuuliza tu why anazima simu usiku,u never know labda hataki usumbufu wa simu usiku baada ya kufanya sana kazi .
Amuulize kwanza then atapata majibu why anafanya hivyo,then amwambie kuwa yeye hapendi mme awe anazima simu usiku.

Mama5J's alishauliza akaambiwa simu zake (zote mbili) zina matatizo ya charge. Sasa sijui akiwaga huko mikoani matatizo yanakwisha!! Au simu zake zinategemea na Weather
 
exactly ma dear...ndio mana mie nasemaga atumie akili zake zote kama anaona ni muhimu kukidua nje bac nicmfume, nikimfuma naharibu mazima, atumie zote alizotoka nazo tumboni kwa mamake.

mamaa wa 'mabiti'....hahaaaa!! sasa utamfanyaje kwa mfano mamii......
wewe tukiwekwa boma moja tutaharibu ile mbaya......
 
inaonekana simu zina 'aleji' na mdogo wako.....
 
Labda hilo boma asiwemo biggie!
 
exactly ma dear...ndio mana mie nasemaga atumie akili zake zote kama anaona ni muhimu kukidua nje bac nicmfume, nikimfuma naharibu mazima, atumie zote alizotoka nazo tumboni kwa mamake.

wafanye tu na tena mbali coz we know they do. balaa dharau ikiletwa hapo tena story ingine, wengine sisi na mapanga ni dam dam
 
Mama5J's alishauliza akaambiwa simu zake (zote mbili) zina matatizo ya charge. Sasa sijui akiwaga huko mikoani matatizo yanakwisha!! Au simu zake zinategemea na Weather
Hahaha si wanunue betri mpya au simu mpya,kwa sasa hawezi muwazia mabaya mumewe.labda akiwa Dar simu yake inakuwa bize sana mchana ndo maana anazima usiku as far wako na wife hamna noma,ila anavyoenda mkoani hazimi usiku ili hata wife akimtafuta usiku asimkose.
 
Unajua mtu mzima hafundishwi what is right and what is wrong. At that stage a whole grown up man huwezi kumfundisha. we are not their mothers for God's sake, so we expect respect from them at least, na hiyo nayo akishindwa thats another case. Cheating they will always cheat that one is for the record! I would just advise ladies to relax and enjoy this life while it lasts and not spend your days worried about a full man who knows what he is doing. Got no time for that and I thank God.
Very well said Carmel dada but may be I worry too much juu ya kuletewa magonjwa yasiyotibika kwa sababu nimewaona wengi wa karibu ambao waume/wake wamewaletea UKIMWI ndoani na sasa wanajuta. Kuna mmoja aliulizwa unahisi ni wapi mumeo alikoutoa akajibu kwa wanawake zake nafikiri kwa sababu alikuwa na tabia zisizoeleweka mie nikampuuza!!
 
Kithimu cha mkononi kina matatizo mengi kimevunja ndoa kimeleta mogogoro katika jamii...kime na kinaendelea .kuleta matatizo sana
 
inaonekana simu zina 'aleji' na mdogo wako.....

wewe bht mie ctaki bwana, yaani nilikuwa cna mpango wa kucheka kabisa leo...mweh...yaani zikiwa karibu na mke zina collapse...
 
Back
Top Bottom