Swali

Swali

MJ1 mpenzi., mi msimamo wangu nimeshauweka kuwa huwa wote tunazima simu...na tukiwa mbali mbali ndo hatuzimi kwa vile nimmiss saa yoyote au dharuara basi inakuwa rahisi

na ikitokea kuwa inabidi izimwe unapeana taaria kabla. ssuala la kushika au kutoshika hilo ni jingine an anadhani haoa tumeshaliongelea sana..hapa ishu ni kwa nini simu izimwe usiku

na pi nilisema kwa vile anazima akiwa likizo kwa mkewe that is perfect kwa sababu anahitaji kupumzika.
.

mdogo wako anahitaji kuongezewa imani ya uaminifu kwa mumewe na yeye pia kujiamini. Mlete kwangu.
Aksante nimekuelewa

hapo kwenye nyekundu , ngoja narudi kusoma tena!
 
Sisters Carmel na nyamayao jamani yaani maisha ya ndoa kwa kweli nashindwa kuyaelewa. Unajua itafika mahali tutachoka nasi tuwe tunaharibu tu. Bora nyamayaio mwenzetu we alishakuelewa ulivyo so ujinga jinga hawezithubutu.

hahahah, ujinga ujinga upo tu, we usimfatishe mwenzio itakula kwako lol
 
Geoff ndo picha niliyoipata hata mimi imenibidi niwe mpole tu na dunia yangu ya kufikirika!

Ukishaukubali ukweli huu utaishi raha mustarehe ndani ya ndoa. We kazi yako inakuwa kumkumbusha mzee kila siku asubuhi. "Leo ukipata......Nimesahau lile neno lako.... kichakubimbi tafadhali hakikisha unatumia kondom"
 
wapwa na mabinamu mi nina mtizamo tofauti kidogo

Kimsingi sioni justifiable reason kwa nini mdogo wake MJ1 awe na wa wasi wasi na mumewe

Mi binafsi huwa nazima simu usiku....kuna watu wana tabia mbaya, wanakupigia hata saaa sita saa nane kukujulia hali sijui kitu gani kwangu huo ni usumbufu

na my wife wangu pia huwa anazima tunamwomba Mungu apishie mbali mabaya yote ya usiku huo, kama lipo tulijue asubuhi.

Hii ni kwa sababu ya kupata muda wa utulizu na my wife wangu. Ikitokea nimesafiri au amesafiri hapo simu iko jewani 24/7.

ndio maana simshanga huyu bwana. sana sana amsomeshe kuwa ni nzuri kwa afya ya ndoa yao. Na kamwe asidanganyoke kujitia kutaka kuichokonoa kama hana mazoea hayo kwa sababu itajenga picha mbaya kweli kweli.

MJ1, mpigie mdogo wako. Mwambie kila kitu kiko shwari unless kuna TATIZO jingine lakini kama ni hili tu, atulie. Amekwambia kama wanadumisha mila kama kawaida au kuna tatizo?

Mbona watu wanayatafuta matatizo huko yaliko jameni?
unapotumia lugha hadhana ya kiswali kujadili muswaada huwa unanifurahisha sana😀
hapo kwenye bolded na underligned part ndo palipolala dhima ya hii esai yako!SENKSI
 
ndio mana nikakosa la kusema dearest, MJ1 katokea huko huko lakini kashasahau mara.
Wewe nitakupigia jioni kwa ajili ya hapo bolded and underligned...!inaonekana una mengi ya kuongea😀
page ya sita bado
 
may be ppl are different but I wouldnt really worry if his phone is off actually I prefer his phone to be off whenever I am with my guy... so if he put it off for me I really appreciate that...
wewe nadhani mshiki alikuwahi tu!adhawaisi NINGEKUWOWA!i like them totooz of your type...!PAMOJAAZ
 
Ukishaukubali ukweli huu utaishi raha mustarehe ndani ya ndoa. We kazi yako inakuwa kumkumbusha mzee kila siku asubuhi. "Leo ukipata......Nimesahau lile neno lako.... kichakubimbi tafadhali hakikisha unatumia kondom"
Hahhaha visokorokwinyo babu ah

Kuna siku niliapply hii bana loh kidogo initokee puani enzi hizo mana nilianza kufokewa ' umenionaje mimi, unafikiri mie ..... au we ndo unayafanya haya oh ah hee ilimuradi tu vurugu. Nikasitisha hata zoezi nililokuwa nalo la kumwekea zana kwenye briefcase
 
MJ1 huwa ana dunia yake ya kufikirika (kama anavojisemea mwenyewe)
lakini tukija kwenye ulimwengu halisi tuishimo KUWAACHA WANAUME WADUMISHE MILA KADRI WATAKAVYO ndo maisha....

nakupata dadaake mimi!SENKSI😀
 
Wewe nitakupigia jioni kwa ajili ya hapo bolded and underligned...!inaonekana una mengi ya kuongea😀
page ya sita bado
Ufukunyuku huo tena. Ukimpata utaona ni kwa nini sitaki kuwa rafiki wa MSHIKI wake X-pin
 
Sheria yangu ngumu zaidi uliyoiona? Yule mama mbona hajawahi tandikwa kibao? Unataka niwadanganye. Ukweli ndio huo. Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Na Mke ni Mali Halali ya Mumewe. Ukishakubali UKWELI huu, Yaani UKWELI MTUPU, ndoa wala haitakusumbua. Wala hutahangaika kupekua simu ya hubby wako. Mtaishi raha mustarehe.

give us scientifically evidence to prove ur point... mie sipekui simu yake lakini doesnt mean I am OK with him screwing other women... 🙄 kama anafanya siri siwezi kujua lakini akianza dharau ya kinionyesha then its a totally different issue..
 
anazimaga akiwa na wife luv...tena akija LIKIZO


Kaizer ple....ase. Usilete mchezo wa kuwaachia watoto wacheze na visu tena vilivyonolewa na wale jamaa wa machinjioni. Hapa mahali siyo salama. Siyo tene yellow light, red imewaka kabisa. Ni hatari kuliko unavyoweza kudhania!
 
MWenzangu nilifikiria ni mimi tu nilifanyaga bad choice kumbe .........Ama kweli sifai tena kuwa mshauri wa ndoa
...ndo maana nimesitisha plan yangu ya kukukutanisha na mshiki!utamshauri anishikie kisu bureeeeeee😀
 
MJ1,

Mwambie aombe ile sala yetu ile....

''The prayer of serenity''

''Dear Lord, give me the serenity to accept the things I can not change, the strength to change the things I can and the wisdom to know the difference''.

Nasi wote tutaitikia AMEN!

haka ndo ka-sala kanakoJUSTFY DHAMBI YETU SAFI!😀
 
Sasa mshiki ndo unamtosa tena? Asije akajidanganya Geoff ni mali yake mwenyewe!
NIMEKUGONGEA SENKSI kwa huo mstari maridadi kabisa...!mimi ni mali kila mtu.ndo maana bia zangu nakunywa CHAWOTE😀
 
Kaizer ple....ase. Usilete mchezo wa kuwaachia watoto wacheze na visu tena vilivyonolewa na wale jamaa wa machinjioni. Hapa mahali siyo salama. Siyo tene yellow light, red imewaka kabisa. Ni hatari kuliko unavyoweza kudhania!
Yaani DC unefafanua ungekuwa umenitendea haki kweli kaka yangu please. It seems una elimu hapa umeibania
 
Ukishaukubali ukweli huu utaishi raha mustarehe ndani ya ndoa. We kazi yako inakuwa kumkumbusha mzee kila siku asubuhi. "Leo ukipata......Nimesahau lile neno lako.... kichakubimbi tafadhali hakikisha unatumia kondom"


cpo tayari kuhalalisha hicho kitendo, kama anafanya afanye akitumia akili zake zote nicmbambe.....mweh
 
aha.. i never thought of that but then I would respect his privacy I guess... u know I wouldnt like it either if he started going through my stuff...

Beleave me if man or woman wanna cheat no one gonna stop them but still we should always try to trust our partners... I beleave that a cheater can not cheat all his life without been caught.and even if we catch our boys cheating we will do smthng to forgive them..
NIMEKUGONGEA SENKSI HAPOOOOO!...acheni wanawake waitwe wanawake bana
 
Back
Top Bottom