Swali

Swali

DC kwa hiyo fani hii inawataalamu kiasi kwamba mke hawezi hata kuota anaibiwa....

Ndio maana yake! 🙂
icon10.gif
 
utafiti huo huo wa haraka utatuonesha wanaume ndio wanaotumia vibaya(cheating) hizo simu kuliko wanawake hence wanaogopa wakilianzisha na wao hawako tayari simu zao zipekuliwe wakijua kuna vimeo..............
you got it right girl!
 
yani wewe uminichekecha sana haaaaaaaaaaaa haa rofl😎😀

aaaaaaaaaaaaaaaaah sometimes huwa nafikiria bora kuwa kichwa ngumu tu bana sasa mtu anakufanyia hayo kwani wewe huna moyo wa nyama!!!
 
Hayo yote mi nakubaliana nayo. ila ukweli sidhani kama unaweza kufunga virago na kuondoka kwako kwa kumhisi mumeo ana cheat au kwa kukuta message kwenye simu. Kweli sipendi na sikubaliani mwanaume kucheat, hilo wanawake wote tunakubaliana nalo, na ni kweli wanaume wakiamua kuacha hii tabia mbaya inawezekana. (i am glad my man doesnt do this so far, so i believe its possible). lakini je unaweza kuwa na uhakika huu kwa muda gani? is it guaranteed for a lifetime? na je utamzuiaje mtu mzima? vp usipojua chochote? na kama ukianza kuhisi (pengine ukweli, na pengine uongo) unafanyaje, unaanzisha vurumai, unafunga virago na kuvunja ndoa, unaanza kuinsist condom au inakuwaje? i am confused here.


Great things never come on a silver plate. You fight for them or you make them. If you are determined, you can make him yours for life. No one else can do it or can destroy it, except you.
 
Do you mean cheating is not acceptable because hurts the feelings of your partner. Should you do it, do it in such a professional way that, your partner will not be suspicious (!?).

Best (and my personal advice), never ever do it. But if you can't stand the temptation then take that option (red). We always see what we expected to see. If no signs, then you partner is as happy as an angel. Some of us might be in that corridor. But believe me, it is very safe, really safe for your feelings and your health as well!
 
Yaani JF mapenzi na mapendo kila siku mnanivumbua macho na kujiona kuwa dunia niishiyo mimi ya kusadikika inazidi kuporomoka! Sometimes mtu anakufanyia kituko hadi unamwuluza hivi mydia why did you choose to marry me? Ili unitese hivi?? ah jamani
 
habarini wanandugu

Kuna wakati nilishawahi kuuliza dalili kuwa mwenzio si mwaminifu kwako ni zipi nikashindwapata jibu. Sasa nauliza specifically maana kuna mdogo wangu kaja analalamika kuwa mumewe haeleweki siku hizi kila akija au yeye akienda (wanaishi mikoa tofauti) usiku lazima mume azime simu zake. Akimwuuliza anadai kuwa zina matatizo ya charge!! Yaani hata akiomba kurushiwa credits mr atawasha, amtumie kisha anazima.

sasa mie alivyoiweka kwangu naona ni kama mr anaavoid kugonganisha magari hewani au nakosea?

Je mkeo/mumeo akifanya hivi utafikiriaje?
2. Kafanye nini kutoa huu wasi wasi wake?

MJ'1,

kuna msemo wasema "curiosity killed the cat", yanini kujipa mashaka kwa ajili ya simu tu inayozimwa usiku?

Mshauri mdogo wako aache kumchungua Mumewe. Binaadamu unapomchunga ndipo anapogundua njia mpya za kuanza kudanganya.
 
utafiti huo huo wa haraka utatuonesha wanaume ndio wanaotumia vibaya(cheating) hizo simu kuliko wanawake hence wanaogopa wakilianzisha na wao hawako tayari simu zao zipekuliwe wakijua kuna vimeo..............

kwa sababu tu wanaume hawasemi ukweli hapa, au pia kwa sababu wengi wana mambo wanayoficha ndo maana wote wanaunga mkono simu zao zisipekuliwe lakini wadada wengi wako tayari waume zao washike simu zao muda wowote, that tells you the rest. So far i remembet only DC amabaye amekubali simu yake na ya mkewe ni ya wote kama walivyo mwili mmoja katika kristo Yesu.

Huo ni mtazamo hasi wa wanawake kuhusu wanaume na jinsi wanavyozitumia simu zao!
 
MJ'1,

kuna msemo wasema "curiosity killed the cat", yanini kujipa mashaka kwa ajili ya simu tu inayozimwa usiku?

Mshauri mdogo wako aache kumchungua Mumewe. Binaadamu unapomchunga ndipo anapogundua njia mpya za kuanza kudanganya.
Mpenzi Mbu nimekuwa nikikutarajia tangu asubuhi mpenzi haya imekuwaje leo?

Tafadhali naomba upitie post za Darck City kwanza then utaona concern yangu darling
(Kaizer habari?)
 
MJ1,

Achana na mambo ya SIMU za mkononi!

Kila wanandoa waweke "policy" zao "re mobile phone usage"

Vinginevyo NDOA nyingi zitadondoka!

Naam Mkuu, hizi simu zimeleta balaa kubwa katika ndoa na watu wasipokuwa makini ndoa nyingi zitaishia kuvunjika. Hawakukosea wale watunga methali waliposema ukimchunguza sana kuku basi hutamla.

Have a great day 🙂
 
Kazi ipo siyo kidogo! People are calling a spade a spade here today, and not a big spoon! So please, you better fasten your seat belt!! 🙂
icon10.gif

zangu hata vile vifungio vimelegea sasa donno hw will I fasten them seat belts!!!!
 
Naomba namba za huyo shem wako nimfundishe jinsi yakuweka call barring
 
Naam Mkuu, hizi simu zimeleta balaa kubwa katika ndoa na watu wasipokuwa makini ndoa nyingi zitaishia kuvunjika. Hawakukosea wale watunga methali waliposema ukimchunguza sana kuku basi hutamla.

Have a great day 🙂
BAK aksante kwa ushauri wako.

So unatushauri hata tukiona kitu kinachotutilizha mashaka tusichungue?

Simu DC amesema ni mojawapo tu ya tools zitumikazo, what if vitu vingine mfano risiti za domestic things ambavyo amenunua lakini havijaja home? au anarudi na lipstick shatini au perfume ya kike? Usimchungue?
 
mimi mwenyewe kuna wakati nilishikika katika hali kama hii na uamuzi niliokuwa nao ni kuzima simu mara ninapokuwa na mmoja! thats life!
 
mimi mwenyewe kuna wakati nilishikika katika hali kama hii na uamuzi niliokuwa nao ni kuzima simu mara ninapokuwa na mmoja! thats life!

Aksante Pape na hii ndiyo theory iliyopo kwetu wanawake!
 
Back
Top Bottom