bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,883
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???
haramu kwetu halail kwao.......
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???
hahaaaaa huu sasa msaha wewe!!!???
when it comes to MY WIFE!...i am very serious bana,lol!how can i hurt her my wife?Aksante nilijua tu kuna hazina iliyojificha kwenye post yako.
nyamayao, Carmel, bht, Kaizer na wengineo wote please hebu tutafakari upya. Muda wa kukaa na kuimba wanaume ndivyo walivyo umeshapitwa na wakati kwetu kina dada tutakuja angua vilio vya mbwa midomo juu machozi chini
Wakaka- Napend amjue kuwa si ufahari wala ushujaa kuchezea maisha yako, ya mama watoto wako huku ukihatarisha life za watoto wenu. Usichukulie kuwa mtiaji nje ndo ufahari no wewe kwangu ni kidume cha mbegu no matter how it comes so huhitaji kujustfy kwa watu wa nje kuwa we kidume
Madhara yake ni makubwa sana ikiwemo ugonvi na picha mbaya mnazoziacha nyuma mnapokuwa mmetangulia mbele za haki pale kina mama tunapoletewa watoto wa nje msibani.
Najua mtasema ukimwi hata siye tunawezakuwaletea nakubali lakini kama mlivyokubali kwenye thread hii mnahalalisha si vizuri.
Hivi X-pin uko tayari kumletea matesha wako kipenzi magonjwa ya zinaa pamoja na UKIMWI? Mtasema mkiwa nje mnacheza salama msitudanganye hapa
Geoff uko tayari kweli MSHIKI uliyemfungia safari hadi Makambako umtende ya kumtenda?
Kina Kaizeer, n.k jamani fikirini mara mbili mbili
Kina dada- nyamayao, carmel, bht, charity, na wengineo kweli mtajisikiaje pale mtakapokuwa mmejitunza kwa uaminifu wenu ndani ya ndoa halafu ghafla maisha yanapinduka juu chini chini juu? Pale ambapo baba watoto anapoanguka ghafla ikagundulika ni AIDS imesababisha na wewe ukajikuta umeambukizwa. Wanao wanabaki wenyewe
Na mbaya zaidi unakumbuka zile signs ambazo ulikuwa unaonyeshwa ukapuuzia?
DC nimekuelewa ndugu yangu ni kweli inauma sana na ndio maana nikamwambia sisy ayafumbue macho yake tena ayafumbue haswa kwani ni dalili hizo. Mie nilishapita huko sitaki tena mwingine aumie kihivyo.MJ1,
Suala la cheating linauma sana. Tena wanaume wakiibiwa wanaumia kuliko unavyoweza kuelewa. Lakini wanapoanza uchokozi ambao unaishia kwenye uzinzi nje ya ndoa, wakati mwingine mambo yanaanza kimzaha mzaha, ingawa kuna wale wanaonuia hata kufuata ma-CD. The bottom line is, "cheating is murder, no matter what".
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???
Sio mzaha, simu ya mkononi ni personal private property binamu! Ndio maana kila laini moja ya simu imesajiliwa kwa jina la mtu mmoja! Kwa hiyo mwenye nayo ana uhuru wa kuruhusu au kutokuruhusu ipekuliwe!
Kama unabisha jaribu kwenda kwenye kampuni ya simu kuomba print out ya namba zote zinazowasiliana na namba ya mumeo, uone kama hawajakwambia uende na barua toka polisi! 🙂
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???
Hayo yote mi nakubaliana nayo. ila ukweli sidhani kama unaweza kufunga virago na kuondoka kwako kwa kumhisi mumeo ana cheat au kwa kukuta message kwenye simu. Kweli sipendi na sikubaliani mwanaume kucheat, hilo wanawake wote tunakubaliana nalo, na ni kweli wanaume wakiamua kuacha hii tabia mbaya inawezekana. (i am glad my man doesnt do this so far, so i believe its possible). lakini je unaweza kuwa na uhakika huu kwa muda gani? is it guaranteed for a lifetime? na je utamzuiaje mtu mzima? vp usipojua chochote? na kama ukianza kuhisi (pengine ukweli, na pengine uongo) unafanyaje, unaanzisha vurumai, unafunga virago na kuvunja ndoa, unaanza kuinsist condom au inakuwaje? i am confused here.Aksante nilijua tu kuna hazina iliyojificha kwenye post yako.
nyamayao, Carmel, bht, Kaizer na wengineo wote please hebu tutafakari upya. Muda wa kukaa na kuimba wanaume ndivyo walivyo umeshapitwa na wakati kwetu kina dada tutakuja angua vilio vya mbwa midomo juu machozi chini
Wakaka- Napend amjue kuwa si ufahari wala ushujaa kuchezea maisha yako, ya mama watoto wako huku ukihatarisha life za watoto wenu. Usichukulie kuwa mtiaji nje ndo ufahari no wewe kwangu ni kidume cha mbegu no matter how it comes so huhitaji kujustfy kwa watu wa nje kuwa we kidume
Madhara yake ni makubwa sana ikiwemo ugonvi na picha mbaya mnazoziacha nyuma mnapokuwa mmetangulia mbele za haki pale kina mama tunapoletewa watoto wa nje msibani.
Najua mtasema ukimwi hata siye tunawezakuwaletea nakubali lakini kama mlivyokubali kwenye thread hii mnahalalisha si vizuri.
Hivi X-pin uko tayari kumletea matesha wako kipenzi magonjwa ya zinaa pamoja na UKIMWI? Mtasema mkiwa nje mnacheza salama msitudanganye hapa
Geoff uko tayari kweli MSHIKI uliyemfungia safari hadi Makambako umtende ya kumtenda? Kina Kaizeer, n.k jamani fikirini mara mbili mbili
Kina dada- nyamayao, carmel, bht, charity, na wengineo kweli mtajisikiaje pale mtakapokuwa mmejitunza kwa uaminifu wenu ndani ya ndoa halafu ghafla maisha yanapinduka juu chini chini juu? Pale ambapo baba watoto anapoanguka ghafla ikagundulika ni AIDS imesababisha na wewe ukajikuta umeambukizwa. Wanao wanabaki wenyewe
Na mbaya zaidi unakumbuka zile signs ambazo ulikuwa unaonyeshwa ukapuuzia?
hakuna sayansi kwenye mahusiano...!chukua biblia takatifu au kuraan anza kuwasoma watu mule utachoka...!
KUANZIA IBRAHIMU,MPAKA DAUDI SOLOMONI N.K...!
kasome mabinti wa MOABU walichomfanya baba yao UTACHANGANYIKIWA!....
ACHANA NA SCIENTIFIC FINDINGS KWENYE LOVE BANA!love is life
Tukifanya utafiti wa haraka haraka hapa, utagundua wanawake ndio walio na kihere here zaidi cha kutaka kufukunyua simu za wanaume kuliko ilivyo kwa wanaume kutaka kuchokonoa simu za wanawake zao!
From the bottom of my heart i admire you. You are so wise.Acha kusumbuka na vitu vidogo hivyo. Simu siyo suala la muhimu kwenye cheating business ingawa ni moja ya vitendea kazi. Wapo watu wanacheat na simu zao hazina kikwazo. Shida ni kujaribu kuleta visingizio vya kitoto wakati suala liko wazi kama inavyosemekana kwenye post ya kwanza. Huyo baba ni mpuuzi na ni mwanafunzi katika hayo mambo. Vinginevyo angekuwa anajua jinsi ya kuzuia magari yake yasigongane kwa kuyaendasha kwa zamu. Huwezi kuanza kuendesha gari moja wakati jingine liko kwenye mtelemko na hukufunga hand break. Ni gharika tu. Huyo jamaa aende shule akajifunze jinsi ya kufanya ufuska nje ya ndoa na siyo kulete visingizio vya kitoto kama hivyo.
DC nimekuelewa ndugu yangu ni kweli inauma sana na ndio maana nikamwambia sisy ayafumbue macho yake tena ayafumbue haswa kwani ni dalili hizo. Mie nilishapita huko sitaki tena mwingine aumie kihivyo.
Acha kusumbuka na vitu vidogo hivyo. Simu siyo suala la muhimu kwenye cheating business ingawa ni moja ya vitendea kazi. Wapo watu wanacheat na simu zao hazina kikwazo. Shida ni kujaribu kuleta visingizio vya kitoto wakati suala liko wazi kama inavyosemekana kwenye post ya kwanza. Huyo baba ni mpuuzi na ni mwanafunzi katika hayo mambo. Vinginevyo angekuwa anajua jinsi ya kuzuia magari yake yasigongane kwa kuyaendasha kwa zamu. Huwezi kuanza kuendesha gari moja wakati jingine liko kwenye mtelemko na hukufunga hand break. Ni gharika tu. Huyo jamaa aende shule akajifunze jinsi ya kufanya ufuska nje ya ndoa na siyo kulete visingizio vya kitoto kama hivyo.
eeh bwana eeeh mimi nikihisi ananichezea 'rafu' hayo yote ni irrelevant.....ntailia timing niichoknoe nipate picha halisi....afu nimtolee uvivu vizuri
hakuna sayansi kwenye mahusiano? vipi jamaa anatuambie eti ndio wanaume wameumbwa hivyo? sawa mie nimesoma hivyo vitabu ... lakini hao prophets didnt cheat... did they? I dont mind if he wanna have another woman in his life but i have all rights to know and its my final decision if I wanna continue to live with him or not... so i wouldnt sit here and pretend that its ok for him to screw another woman... because it is not and its completely disgusting.
Acha kusumbuka na vitu vidogo hivyo. Simu siyo suala la muhimu kwenye cheating business ingawa ni moja ya vitendea kazi. Wapo watu wanacheat na simu zao hazina kikwazo. Shida ni kujaribu kuleta visingizio vya kitoto wakati suala liko wazi kama inavyosemekana kwenye post ya kwanza. Huyo baba ni mpuuzi na ni mwanafunzi katika hayo mambo. Vinginevyo angekuwa anajua jinsi ya kuzuia magari yake yasigongane kwa kuyaendasha kwa zamu. Huwezi kuanza kuendesha gari moja wakati jingine liko kwenye mtelemko na hukufunga hand break. Ni gharika tu. Huyo jamaa aende shule akajifunze jinsi ya kufanya ufuska nje ya ndoa na siyo kulete visingizio vya kitoto kama hivyo.
Hayo yote mi nakubaliana nayo. ila ukweli sidhani kama unaweza kufunga virago na kuondoka kwako kwa kumhisi mumeo ana cheat au kwa kukuta message kwenye simu. Kweli sipendi na sikubaliani mwanaume kucheat, hilo wanawake wote tunakubaliana nalo, na ni kweli wanaume wakiamua kuacha hii tabia mbaya inawezekana. (i am glad my man doesnt do this so far, so i believe its possible). lakini je unaweza kuwa na uhakika huu kwa muda gani? is it guaranteed for a lifetime? na je utamzuiaje mtu mzima? vp usipojua chochote? na kama ukianza kuhisi (pengine ukweli, na pengine uongo) unafanyaje, unaanzisha vurumai, unafunga virago na kuvunja ndoa, unaanza kuinsist condom au inakuwaje? i am confused here.
kwa sababu tu wanaume hawasemi ukweli hapa, au pia kwa sababu wengi wana mambo wanayoficha ndo maana wote wanaunga mkono simu zao zisipekuliwe lakini wadada wengi wako tayari waume zao washike simu zao muda wowote, that tells you the rest. So far i remembet only DC amabaye amekubali simu yake na ya mkewe ni ya wote kama walivyo mwili mmoja katika kristo Yesu.Tukifanya utafiti wa haraka haraka hapa, utagundua wanawake ndio walio na kihere here zaidi cha kutaka kufukunyua simu za wanaume kuliko ilivyo kwa wanaume kutaka kuchokonoa simu za wanawake zao!
Aksante!Hapo ndio penyewe. Akijua jinsi ya kucheza karata zake basi hatajuta. Akinyamaza tu na kujidai anamwachia Mungu atakuwa anafuga panya kwenye debe la unga. Mpe moyo tu, huo mtihani atawini akiamua kutafuta proper treatment badala ya kumeza panadol na kulala wakati ana ugonjwa mwingine.
Do you mean cheating is not acceptable because hurts the feelings of your partner. Should you do it, do it in such a professional way that, your partner will not be suspicious (!?).