Swali

Tafuta CD ya nyimbo 'mahaba ya pwani' sikiliza utaelewa au kama mdau gwiji wa kompyuta atudauniliye hapa.
 
Shikamoo kaka KARIA.
Nyumbani hawajambo?
Nisalimie sana.
Afu ndo nini kunichomesha mahindi siku ile pale?
Nijibu nami nitakujibu.

Marahaba Madame B!
Nyumbani hawajambo!
Nao wanakusalimia sana.
Sikua na nia yakukuchomesha mahindi dada! Ila yaliyonikuta makubwa, ila ni mitihani ya Maulana. Namshukuru Mola yameisha salama dada!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom