Ngoja waje magwiji,hivi unaweza kusema tufanye mahaba? By the way unaonaje jina lako ukaongezea ''KOO'' kwa mbele
Ngoja waje magwiji,hivi unaweza kusema tufanye mahaba? By the way unaonaje jina lako ukaongezea ''KOO'' kwa mbele
Hahahahahahahaaaa!!!!!!!
Aseeeee...!
Ni hivi Baba na Binti yake yawezekana sana wakawa na Mapenzi ya mtoto na baba.
Lakini hawawezi kua na Mahaba baina yao
Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiii,We charminglady nitake radhi! Unataka uwe cryinglady sasa hivi?
Kumbe siku zote hizi mapenzi yako kwangu yameanza leo? Mbona mie mapenzi yangu kwako yako kitamboo ?
teh teh teh ..... mbona hujafunguka sasa???? afu beibe nasty anafahamu???
Wapendwa wa CC wanzangu kuna kitu kinanitatiza naomba maelekezo yenu tofauti ya MAPENZI na MAHABA ni nini?
...what is The difference between LOVE AND PASSION?
yote maneno mawili kwa mtazamo fulani yana maana sawa...
Unahisi ? Unakisia? Unadhani ?