Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Hao watakuwa wazee wa ajabu ,mwanaume mwenye kutunza mwili anaweza kuwa na nguvu za kufanya mapenzi hadi akiwa na miaka 55, na pia anaweza kuzalisha hadi akiwa na 70 yrs.
 
Kazi zinaenda sema kuna low performance ila kuna baadhi wakiwasha moto wanawasha moto kweli
 
Inategemea sana afya ya mwili mzima. Kama hana maradhi mdada utakimbia mwenyewe. Cc R Mengi.
 
huwa nasema hapa......chupa ya wisky ukiifungua na kuanza kuinywa kwa pupa na ulafi.... ndivyo inavyopungua na kuisha.... vivyo hivyo kwa kijana mume rijali haswaaa.......huu mchezo wa kusema nimepiga bao saba.......sijui nne mara nimeunganisha 3.........hapo una 25 sijui 28....walahi ukifika 40 chupa yako nabidi kuiinamisha mno.....ukifika 55 lazima ukung'ute......na michakula hiii ya dot com.......lazima pumbu zitepete
 
Hapo kwa deshi deshi kutepeta mhh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ulilala na wazee waliokua na umri gani na wewe ulikua na umri gani?
 
hahahahaha yani mm nashangaa kweli mtu aadumbukiza ile anapanda juu akirud chini kwishaaa agriiii yan mpaka naona kerooo
Kama haupendi hvyo njoo kwa vijana wa kazi. Sisi tutaendelea kutembea na wake zao wakat wao wanatembea na nyie. Lakn co wazee wote wasiojua kupiga shoo. Pia co vijana wote wanaweza kupiga shoo kal. Kikubwa vijana na wazee/Wanaume tumesahau kabsa Vyakula vya Kuongeza afya za uzazi weng wanapenda vya kula kukaanga 2
 
Back
Top Bottom