Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,247
- 93,771
Zinaisha ila wanatumia Njoi
Kwasababu nyuzi zako zikipoa na Chit-Chat inapoa !!na unajua Umiss wa Chit-Chat Unao.Leo umekosa uzi wa kushinda jf umeamua kufukua nyuzi zangu kwann usifukue za wengine
Mhhhh mie sio mtu story sana , ivo kuchangamsha nikazi yako ...... Mie nilitakiwa kua mwalimu basi tu !!Hahahhaha mbona hata wewe unaweza tu kuchangamsha jukwaaa
Duuuuuhhh sikuwah ibia majibu hata sikumoja .. Hiyo inaitwa uwezo mdogo wa kufikiria.Oooh kama unataka nyuzi unanifata pm nakuandikia unapost
Po aseee bye .