Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Demiss ametoroka toka aliposema anaenda tazama kwanza tamthilia ya Sultan hajarejea vinginevyo swali lake lingejibiwa kikamilifu kuna wengine haka kamchezo tulianza 1970's na bado tunakacheza kwa ufanisi
Haaa haaa babu hongera sana
 
Wee kuna babu mmoja rafiki yangu juzi hapa nilimuuliza vipi bado anapiga huwezi amini babu kaniambia bado anawapelekea moto mbaya na huyo mzee saa hivi ana kama 83 sema yeye mwili wake kama umakakamaaa anaonekana kama kijana hivi
Waulize hao wenzie sio yeye je kama anaongopa?
 
Hakuna mwanaume aliyezeeka akapoteza nguvu za kiume, huwa zinapungua. Uzito mkubwa, ulaji mbovu na matumizi ya sigara na pombe kupita kiasi ndivyo vinavyo waathiri. Hata vijana wanakumbwa na matatizo hayo, rejea wanaume wa Dar.
Wanaume wa dar wamefanya nini maana wengi ni wakuja tu
 
Back
Top Bottom