Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Nachoamini ni kuwa; Kama me atazeeka na ke wake huyo huyo wa miaka 47 nadhani sio kwamba anaapungua nguvu bali hamu. Tofautisha nguvu na hamu. Waweza kuwa na njaa sana ila huna hamu na chakula kilichowekwa mbele yako au sio?? Pili; ke wengi huwa wanadharau flan hivi wakati wa tendo. Kama kila siku mimi ndio nikuandae tuuu huna hata siku moja utajipitisha mbele yangu nikutamani?? Angalia; ke wengi hujifanya hawataki mpaka tuwafikirie tuliowaingia zamaniiii. Ya nini kukumbuka ya kale wakati hata sijui ka yupo hai?? Yote kuletelezwa na huyu aliye ndani huku akiziba mianya ya wengine.
Chuma kikiwa kipya yaani sijamdunga tena sindano sihitaji ku recharge bali kumuandaa na lazima alie "Po"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyo hao round 7- 10 waje watwambie mauzoefu yao na vile vibao mtaani vya
dawa za kuongeza nguvu za kiume sijui vimewekwa kwa ajili ya nani!
Shangaaa na wewe mtu anakwambia akikushikilia utaomba poooh unaanza kujiandaa kabisa unaandaa na Dragon pembeni ile unaenda khaa dk 2 chalii anahemaa jujuuuuu
 
Onyo :
Kabla sijaandika chochote marufuku kumtag Daktari wangu kwenye comment zenu za ajabu kiufupi alinitoa shimoni kaniweka kwenye ramani kwahiyo mniache.Ananijua vizuri sana sema nyie tu ndo mnahangaika.

Tuendele sasa kwenye mada husika hapo zamani kabla sijatoka kwenye dunia ya ufuska niliwahi kushiriki mapenzi na wazee wa3 kiukweli wote hawana nguvu.
Cha kushangaza wote wana watoto na wake zaoo.
Mmoja alikuwa anapalaza juu ya kitumbua mpaka anafika kitonga hawezi kuingiza ndani kwenye joto.
Hao wengine wawili hawana nguvu kwenye mikuyengee kabisa kakisimama kamelegea legea tu.

Nikajiuliza kadri umri unavyoenda ndio wanaume wanakosa nguvu za kupiga mashine?

Ina maana enzi wana umri wa ujana na ubaba walikuwa wanasimamia show kama kawaida au? Watoto wamewapataje?
Je na nyie kinamama wahenga huwa mnapoteza nguvu au hamu za tendo la ndoa?
Na kama mme wako amepoteza nguvu huwa mnafanyaje?
Au ndo viben10 vilizuka sababu ya haya mambo ya wanaume ukianza kuzeeka unapoteza nguvu?

Babu Aspirini ulisema mbuzi hazeeki maini kuna ukweli hapoo?Naomba uthibitishe.
Case study.

Pia kumbuka ukuaji unaendeshwa na vichochezi(homorne).
 
Asikudanganye mtu madam. Kichapo cha mwanamme mzee kipo palepale! Kukuthibitishia hilo, leo kwemye nyuzi from Bukoba I think yupo kibabu wa miaka wa miaka 70 plus amechomwa jela miaka 30 sababu amembaka kasichana. Just think of that!
 
Nachoamini ni kuwa; Kama me atazeeka na ke wake huyo huyo wa miaka 47 nadhani sio kwamba anaapungua nguvu bali hamu. Tofautisha nguvu na hamu. Waweza kuwa na njaa sana ila huna hamu na chakula kilichowekwa mbele yako au sio?? Pili; ke wengi huwa wanadharau flan hivi wakati wa tendo. Kama kila siku mimi ndio nikuandae tuuu huna hata siku moja utajipitisha mbele yangu nikutamani?? Angalia; ke wengi hujifanya hawataki mpaka tuwafikirie tuliowaingia zamaniiii. Ya nini kukumbuka ya kale wakati hata sijui ka yupo hai?? Yote kuletelezwa na huyu aliye ndani huku akiziba mianya ya wengine.
Chuma kikiwa kipya yaani sijamdunga tena sindano sihitaji ku recharge bali kumuandaa na lazima alie "Po"
Siyo kweli umri ukienda na chini panakosa nguvu
 
Sio hivo tu, hata kengele(pUmB....)huwa zinazidi kuning'inia kwa maana ya kulegea.

Kuna swali pia linaulizwa hivi; eti kadiri umri unavoongezeka kile kitundu cha kutolea ...ojo na hawasha huwa linaongezeka upana?
Kazi kweli kweli [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
soldier.jpg
 
Back
Top Bottom