Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Kweli kabisa yani wazeee kimoja tu anamwaga midorali kama nn khaaaa lazima nivumilie tu
Nikiwa mdogo flani kuna rafiki wa dada yangu alipata mzee, wakiwa wanaongea vipi mzee wako, jibu lake mie pesa tu hapa nafukuzia pension yake karibu anastaafu duu masiki kibabu kikawa kinanyanyasa watoto wake hicho
 
Kuna Mzee mmoja mvuvi alituhadithia ana kende moja tulipomuuliza la pili lilienda wapi akadai lilipotea tu tangu ujanani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lilipotea vipi sasa
 
Back
Top Bottom