Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Asee wazee huwaga na pesa mingi hasaa.......

ndo mana vile anapitisha juu tu ili afike On peak na wala hulidhiki coz pesa ipo mingi, ukitoka hapo una come kwa bwanako azipunguze hizo naniooo.....!

Love is really crime
Kweli kabisa yani wazeee kimoja tu anamwaga midorali kama nn khaaaa lazima nivumilie tu
 
Hapo unakuwa unatafuna kama bigijii iliyokosa ladha hadi unafikia hatua ya kuitengeneza pulizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahah mxeweew kabisa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom