Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Haaaw haaaa mie sijui hayo majina [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahhaaaa
Ila nakumbuka nyakati za ujana ule mbichi niliwahi kupiga goli nane kwa kutumia ule mtindo wa kamata mwizi (sijui kama waujua huo utaratibu)