Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Sawa mkuu, kwa mada zako unaonekana umepitishwa anga za hatari sana na wanaume. Eniwei inategemea ntu na ntu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo umenena wanajumlisha vyote
Hahahahhaaaa

Ila nakumbuka nyakati za ujana ule mbichi niliwahi kupiga goli nane kwa kutumia ule mtindo wa kamata mwizi (sijui kama waujua huo utaratibu)
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] watu wahivyo wakiwa na mtu wake wanakuwa wapole sana
Hahahahaa

Kama ningunungu vile sio- miiba yote anaikunja anategesha mwenyewe hahahaaa
 
Back
Top Bottom