Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Swali: Wanaume wakizeeka wanapoteza nguvu za kiume?

Yaani nilibaki kucheka hivi round 2-3 za maana kweli hizo 8 hadi 10 zinafika kweli, kwanza hata 1 kwa afya ni poa tu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaza ukizeeka alafu nikupe offer ya utyaaamu utakavyoshindwa kulaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hii mbona simple, energy decreases with age, ukifika menopause ndo utaelewa
 
Hii kitu ni afya ya akili na mwili,japo uzeeni athari hua kubwa zaidi ila hata vijana nowdays wapo na shida hii,vyakula,lifestyle,maradhi n.k huchangia kupoteza nguvu,ila unapolijadili Usi_generalise..
 
Hahahaha umeshakuwa mkubwa maneno yako yananishawishi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom