Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,773
- 126,714
Labda Chai jaba ndio itanifaa zaidiSubili kidogo ngoja nikuletee kahawa
Labda Chai jaba ndio itanifaa zaidiSubili kidogo ngoja nikuletee kahawa
Hahahaha acha kabisa utamani ujisweke vidole ila ndo vile ushasema umefika kibo na mawenzi unajikazaUnapotezea madesaaa na usipokojozwa kiuno lazima kiuume
Ntaijibu vipi sasa wakati sina experience na uzee? Tuombe uzima tu na utanikumbusha mwaka 2055Ohooo sikuhizi tunakufa mapema kabla ya uzee we jibu tu kwa niaba ya baadae
Kwa hapo wanawake nawakubali sana baby kumbe na hao kwa kuuliza uliza wakati yake kaifanya mwenyeweUkikumbuka alivyokupanga sasa kukutindua anakwambia umeridhika unajibu kiuongo ndioo nimeenjoy mxeeeeew
UwiiiiiiiiiiiiiiiNtaijibu vipi sasa wakati sina experience na uzee? Tuombe uzima tu na utanikumbusha mwaka 2055
Asee wazee huwaga na pesa mingi hasaa.......Hahahahahahaha tunafata pesaaa ndugu
Sasa watatumia mpaka uzeeni?Vumbi la kongo
Hapo unakuwa unatafuna kama bigijii iliyokosa ladha hadi unafikia hatua ya kuitengeneza pulizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamu inapotea lakini mashine unakula kama kawaidaaa
Haaa haaaa wazee mpooooAtaanzaje kwa mfano unashangaa anapizi upepo fyuiiiiiii
Hiyo siwezi labda nibuni nyingine inayonifaaNdio anza kubeba mizigo bandarini