Hao hawakuwa serious na Mungu..ukimtii Mungu kwa ukamilifu wa moyo..unapojifunza maneno ya Mungu na kuyatendea kazi,Mungu hawezi kukuacha utumwani..tena utumwa wa dhambi.maana punyeto ni dhambi pia...na yeye Mungu amekuita ili uwe huru..
Mungu hana upendeleo..hata kama ni mchungaji kama hafanyi mapenzi ya Mungu..ataendelea kuwa mtumwa wa dhambi na addictions..kwa hiyo usiangalie watumishi au wachungaji..wewe unawajua kwa vyeo vyao lakini mioyo yao haiujui..kwa hiyo wewe unapomwendea Mungu,Nenda wewe kama wewe..na Mungu atakupa thawabu zako kulingana na vile ulivyo..haijalishi wanadamu wanakuonaje.