Swali: Ulianza vipi kupiga punyeto?

Swali: Ulianza vipi kupiga punyeto?

Uliachaje Mkuu?
Kiufupi uzi umenigusa sana! Nilianza nkiwa darasa la sita nikaendelea nikawa najaribu kuacha nashindwa!
Mpaka nikamaliza form four bado nikiwa naendelea kufanya huku najaribu kujizuia kwa kupunguza round angalau mara mbili kwa siku!!
Baada ya kuhitimu form four Iringa huko si nikachaguliwa shule flani ya boys tu!! bwana we....nikarudi nyuma tena nikawa addicted kama mwanzoni!
Basi baada ya kuhitimu form six nilipata msichana flani issue ikaja wakati wa kugegedana yaani ata dakika mbili zilikua nyingi mzee ameshalala! Nashukuru na mwenzangu hakuwa mzoefu sana kwani niliaibika sana!!
Baada kushindwa kugegeda na aibu niliyoipata iliniuma sana nikakichukia sana kitendo hicho nikaacha kabisa

Baadaye nilikaa mda mrefu kama semister nzima ya chuo kwani tayari kipindi hicho nilikua chuo hali ikawa kama kawaida!!Nikiri wazi kwa sisi tuliosoma boys tu tatizo ni kubwa kuliko mtu anavyo dhani!!!
.
.
Aibu ya kushindwa kugegeda ndo ilinifanya nikaacha!.

Niishie hapo kwani ni story ndefu sana hapo katikati kuanzia darasa la sita mpaka kufika form four nini kilikuwa kinaendelea
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Haya ndio maswali ya kichochezi haswaaa,naona unataka kutuchonganisha na mabeby zetu kwa kutudanganya tuweke siri zetu pendwa hadharani!
 
Kiufupi uzi umenigusa sana! Nilianza nkiwa darasa la sita nikaendelea nikawa najaribu kuacha nashindwa!
Mpaka nikamaliza form four bado nikiwa naendelea kufanya huku najaribu kujizuia kwa kupunguza round angalau mara mbili kwa siku!!
Baada ya kuhitimu form four Iringa huko si nikachaguliwa shule flani ya boys tu!! bwana we....nikarudi nyuma tena nikawa addicted kama mwanzoni!
Basi baada ya kuhitimu form six nilipata msichana flani issue ikaja wakati wa kugegedana yaani ata dakika mbili zilikua nyingi mzee ameshalala! Nashukuru na mwenzangu hakuwa mzoefu sana kwani niliaibika sana!!
Baada kushindwa kugegeda na aibu niliyoipata iliniuma sana nikakichukia sana kitendo hicho nikaacha kabisa

Baadaye nilikaa mda mrefu kama semister nzima ya chuo kwani tayari kipindi hicho nilikua chuo hali ikawa kama kawaida!!Nikiri wazi kwa sisi tuliosoma boys tu tatizo ni kubwa kuliko mtu anavyo dhani!!!
.
.
Aibu ya kushindwa kugegeda ndo ilinifanya nikaacha!.

Niishie hapo kwani ni story ndefu sana hapo katikati kuanzia darasa la sita mpaka kufika form four nini kilikuwa kinaendelea
Pole ma hongera sana Mkuu kwa mapito uliyopitia....wacha tujipe moyo maana kila lenye mwanzo lina mwisho.
 
gals ila ya kwenu cjui "fingering" itabd muianzishie uzi bc tupate stimu na elimu. Au vp [emoji39][emoji8]
Wao vidole viwili mwanzo mwisho ila sisi ni vyote tano Mkuu.😀😀😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nilianza 2006 mpaka Mwaka jana mwishoni baada ya kupata demu aliyekuwa karibu yangu ikisimama tu nadumbukiza, Namshukuru Mungu Mwaka huu nimepiga ila sio Mara nyingi.. .kwa wastani inaweza kuwa Mara 2 kwa Mwezi.

Ila pia kusema ukweli Leo nimepiga baada ya kujua demu wangu hatakuja ghetto

Kinachonipelekea kupiga nyeto 98% ni kuangalia porn video na ule Wakati nashinda peke yangu...

Naamini kuna siku nitaacha maxima, Kwani inaniondolea confidence sana nikiwa na manzi
 
Dah! Mkuu nimecheka kwa sauti hadi majirani wamesikia......kwamba hadi leo umepiga?😀😀😀😀😀Tujipe moyo Mkuu, ipo siku tutaacha milele.
 
mm nilifanya punyeto kipindi cha miaka 16 ila sasaivi nashukuru nimeacha baada ya kuoa
Miaka 16? kumbe hili game ni la wengi aisee....vipi Mkuu tangu uoe hujawahi hata kushtua cha dharura? na una miaka mingapi kwenye maisha ya ndoa?
 
Nina miaka 3 kwenye ndoa yangu na nimepata mtoto 1, ila nawashauri vijana wenzangu, punyeto ni Hatari sana aifai.
mm ilinichukua muda kuwa kabisa nilifanya kazi ya ziada sana kuacha.
 
Nilianza nikiwa form 2,nilkuwa hata sjawah jua hii ktu,wakanielekeza,nikaenda kujarbu home skufanikiwa,kesho nkawaeleza kuwa skufanikiwa,wakanieleza vzur,nilpo fika home tena nkatest ikakubal ilikuwa n raha ya ajabu kdogo nidondoke chooni,nikiwa nmetoka bafun najpaka mafuta ngoma ikasimama tena nkaenda choon nkapga tena,nkarud nikiwa nmekaa kbarazan ikasimama tena nkaenda tena choon nkapga,nkatoka baada ya muda tena ikasimama mmh!? Nkashtuka nkaona umekuwa mchezo sasa naweza piz damu nkaacha,ila ukawa mchezo wa kla sku nkienda kuoga napga,kuacha hii ktu n kuhakikisha una K ya permanent ambayo sku yeyote/muda wowote unaweza piga,yaan kfupi n kukaa na mbunye karibu
Umrnichekesha sana...Daah
 
Back
Top Bottom