Swali: Ulianza vipi kupiga punyeto?

Swali: Ulianza vipi kupiga punyeto?

Daah it was accidentally tu miaka hiyo ya kubalehe nilikua naoga nilikua najipaka sabuni sina hili wala lile kufika kwa mzee nampaka sabuni si akasimama, basi nikawa naendelea tu kumpalaza palaza na mimi nazid kusikia raha tu kuja kutaharuki naona vitu mwaa mwaa mwaaa......hapo ndo safari ilipoanziaga!!!

Kuacha mkuu ni changamoto kubwa sana hasa kama hujaoa. Mfano mzur mimi binafsi sijao ila ninapokua karibu na gf wangu (hapa na maanisha uwepo wake tu ila tunaweza tusifanye mapenzi ila nikimuhitaj naweza kumpata) sifanyi hiyo kitu hata kidogo wala kukiwazia ila ikitokea nimesafiri nipo mbali nae hapo ndo ile personal conflict inapoanza sasa......upande mmoja unasema leo tu fanya si hayupo hapa, akiwepo mbona hufanyagi. Amini nakuambia huu upande unakuaga na guvu hatari unajikuta ule unaokuambia achana nayo unashindwa.

By the way hii kitu ni huruma ya Mungu tu iwapitie vijana hasa kwa kipindi hiki cha kina "chura anarukaruka" ndipo wataweza kujitenga nayo, vinginevyo hakuna muujiza wa kuepuka hicho kitu katika ulimwengu huu wa WhatsApp kuungwa kwenye grup la kutumiwa video za ngono ni 1000/= Tsh
Eti ukipiga game na demu unakaa muda gani maana naskia nyeto inafanya mtu awahi kumaliza(kupizi)
 
Hakuna mwanaume duniani ambae hajapitia nyeto,na kuacha kwake ni either uoe au uwe na demu wa uhakika kila unapohitaji tendo la ndo kunyume na hapo nyeto haiachiki
 
Nahisi kama nikipenda kuingia humu kwenye hii mada nitaanza kujaribu maana Am a single B.Kwaherini
 
Tangu uache? kama ndivyo hongera...ila
mimi nikijiganganya kupitisha muda
flani, lazima nijekufidia siku zote
nilizopitiliza.

ndio chuda chura tangu niache me nilikuwa natabia ya kufidia pia sema najitahd kutokuangalia ujinga sana bora ni google lamborghini
 
ha ha weee nina wiki tatu na siku mbili sitak jaribu hiyo mambo kabisa
 
Bado cjafikiria kuacha na sijaona tatizo lake maana kwenye game naibuka kidedea kuliko hata ambao hawapigi.

Ukijifanya unapiga kama ugomvi lazma uharibu system ya mashine.
 
Nilianza nikiwa form 2,nilkuwa hata sjawah jua hii ktu,wakanielekeza,nikaenda kujarbu home skufanikiwa,kesho nkawaeleza kuwa skufanikiwa,wakanieleza vzur,nilpo fika home tena nkatest ikakubal ilikuwa n raha ya ajabu kdogo nidondoke chooni,nikiwa nmetoka bafun najpaka mafuta ngoma ikasimama tena nkaenda choon nkapga tena,nkarud nikiwa nmekaa kbarazan ikasimama tena nkaenda tena choon nkapga,nkatoka baada ya muda tena ikasimama mmh!? Nkashtuka nkaona umekuwa mchezo sasa naweza piz damu nkaacha,ila ukawa mchezo wa kla sku nkienda kuoga napga,kuacha hii ktu n kuhakikisha una K ya permanent ambayo sku yeyote/muda wowote unaweza piga,yaan kfupi n kukaa na mbunye karibu
Mmm hii laana inawatafuna. Ngoja mkifika mbinguni hayo mabao mnayopiga mtawakuta watoto wenu.
 
M/kiti wa CHAPUTA nimefika;
Huu mchezo niliuanza tangu mwaka 2000 tena nilianza kama utani tu, baada ya kubaini nimeanza kuota mav*zi na kugundua mabadiliko kadhaa mwilini mwangu sasa ikawa usiku nikilala basi asubuhi najikuta nimelowanisha nguo zangu cha ajabu mi nilizani kuwa nimejikojolea lakini cha kushangaza kila nikinusa harufu hamna ya mkojo then hua ni kama uji uji. Hali hii nilikuwa najiuliza inakuwaje mpaka nalowanisha nguo nilihisi kama labda ni ugonjwa lakini baada ya muda tukawa tunasimuliana vijana wa rika moja maskani, kumbe hali iliyokuwa inanitokea mimi na wao pia ilikuwa inawatokea. So hapo ndio ndipo nilipoanzia kwani ilikuwa nikiingia bafuni kuoga nikishika sabuni naipitisha maeneo basi nilikuwa nahisi raha ajabu, ndio nilivyoanzia. Na kusema kweli najitahidi sana kuacha lakini bado inashindikana. Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M nakumbuka wakati Niko form two nilinunua condom ili kujipima kama inafit nkakuta inafit vizuri apo ndo nilijikuta nakuwa na mazoea ya kupenda kuvaa condom bila sababu ndo nilipoanza kujigusagusa nkawa nasikia kama raha fulan hiv we ndo mambo yalikoanzia

blame no body
 
Mi nilianza nyeto tokea 2006 nikiwa form 1 nakumbuka mwez wa sita niko likizo home mwenyewe nikakumbuka vijana nliokua nikisoma nao boarding walikua wanapiga laana hadi Wanalia kimasai!!
Mi nkasema isiwe kesi nkajifungia geto na sabuni yangu nkaanza piga nilisikia raha ya hatari nikamwaga viwili hiyo siku
Tokea siku nikawa napiga karibu daily halafu sina habari na napiga kitabu fresh
Mwaka Jana ndio niliacha(takriban miaka 10)baada ya kumpata demu na kuabika kwani ngoma ilishindwa kusimama baada ya kimono
Nilichanganyikiwa,nikarudi nyuma kimaendeleo,nikawa mlevi.baada ya stress kuwa nyingi kujiona sitapata watoto wala kuoa
Ila nikajipa moyo naweza kupona nikaanza tiba ya nguvu ndani ya miezi 8 saiv nimeoa Nina mtoto wa miez 3
Nina mwaka na kitu sijapiga nyeto

Hasara nilizopata kipindi napiga ni kama:
(1)mwili kuchoka
((2)viungio kulia kaaas
3)kuwa mbinafsi
(4)kukosa umakini
6)kujilaumu baada ya kupiga
 
Mi nilianza nyeto tokea 2006 nikiwa form 1 nakumbuka mwez wa sita niko likizo home mwenyewe nikakumbuka vijana nliokua nikisoma nao boarding walikua wanapiga laana hadi Wanalia kimasai!!
Mi nkasema isiwe kesi nkajifungia geto na sabuni yangu nkaanza piga nilisikia raha ya hatari nikamwaga viwili hiyo siku
Tokea siku nikawa napiga karibu daily halafu sina habari na napiga kitabu fresh
Mwaka Jana ndio niliacha(takriban miaka 10)baada ya kumpata demu na kuabika kwani ngoma ilishindwa kusimama baada ya kimono
Nilichanganyikiwa,nikarudi nyuma kimaendeleo,nikawa mlevi.baada ya stress kuwa nyingi kujiona sitapata watoto wala kuoa
Ila nikajipa moyo naweza kupona nikaanza tiba ya nguvu ndani ya miezi 8 saiv nimeoa Nina mtoto wa miez 3
Nina mwaka na kitu sijapiga nyeto

Hasara nilizopata kipindi napiga ni kama:
(1)mwili kuchoka
((2)viungio kulia kaaas
3)kuwa mbinafsi
(4)kukosa umakini
6)kujilaumu baada ya kupiga
Hiyo tiba uliipata kwa gharama gani...¿ wapi¿ tusaidiane
 
Hiyo tiba uliipata kwa gharama gani...¿ wapi¿ tusaidiane
Tiba kubwa ya kuacha punyeto ni ya kisaikolojia niliyopata na tiba lishe kidogo
Kwa jinsi nilivyojifunza Mimi punyeto huathiri zaidi ubongo kuliko nguvu za kiume. Kipindi niko addicted sana nilikua nikiwa na demu ngoma aisimami mpaka nivutie hisia za nyeto
Nikitaka kupiga puli ngoma inadinda laana mpaka inauma arifu
Wanawake nikawaona kama vifaa tu vya ziada hawaniambii lolote na hela nakula mwenyewe
Nikaona maisha gani ya kitumwa haya!nimelogwa ama? Nilipitiaga Uzi mmoja hapa jf wa madhara ya nyeto nikaamua acha
Namshukuru mungu mtaalamu mmoja pale st Elizabeth alinipa tiba ya saikolojia ingawa ilichukua muda kurudia kawaida ila nimeeza acha Nina mke na kid Wangu nyeto naichukia kama nilivyokua nachukia mademu
Napiga show za nguvu hasa nikiwa likizo
Najivunia uanaume Wangu
Sio mapuli ukitoka bafuni umechoka jicho limekutoka kama mjusi kabanwa na mlango
KWAHERI CHAPUTA
 
Back
Top Bottom