Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
MMU Salam!
Baada ya kukaa na kutafakari sana, nimegundua kuwa nyeto/mgalala ni kama Heroin ama cocaine.
Ina addiction kama ambavyo madawa ya kulevya yalivyo.Mtu akienda soba anasema ameacha ila akirudi mwendo ni ule ule.
Hili nimeshuhudia pale nilipomfuata mzee mmoja wa hekima nyingi kumuomba anisaidie ili niepukane na nyeto ila nilichoambulia ni shangazo kubwa sana.
Nilimueleza yule mzee kwamba mimi nimekuwa mfuasi wa nyeto kwa miaka nane sasa na nataka kuacha kwa hiyo anisaidie.Alicho nijibu yule Mzee kilinishangaza sana, alisema ''Yaani wewe miaka nane ndio unalialia hivyo?....mimi licha ya kuwa na mke pamoja na hela za kutosha kuhonga michepiko, nina miaka 31 tangu nianze kupiga nyeto na bado nipo kwenye game....wewe endelea nayo kijana wangu, nyeto imenipa faida nyingi sana na sina mpango wa kuachana nayo siku za karibuni"
Alo! tuliagana vizuri na yule mzee nami nikarudi zangu ghetto.Nikiwa pale room niliikumbuka na kuilaani siku nilipoanza huu mchezo.
Siku ya kwanza nilikuwa na pakiti za ndom nikavaa moja, kwenye kuivaa nikajikuta nasisimua kule allepo ghafla wazungu wakachomoza.Ilinishangaza sana maana ndio likuwa mara ya kwanza.
Siku mbili baadae nikarudia tena, hapo ndio nyasi za kichaka zikashika moto na kujikuta nagundua mbinu nyingi sana za kunyetoka....miaka mitatu baadaye nikaanza kuangalia porno, treni ikawa imekolea kwenye reli.
Sasa nimefikiri kama tunataka vizazi vijavyo viepukane na hili janga, ni vyema tukaangalia namna tulivyoanza ili tuvikinge na hili janga.
Kama tukiwa karibu na wawazi kwa watoto nyakati za balehe na kuwaepusha na hili janga, tutaweza kupunguza tatizo.
Ndugu wewe ulianzaje hili game?
Una miaka mingapi tangu uanze?
Kama umeacha, ulitumia njia gani?
Karibuni kwa mjadala.