Swali toka kwa mtoto...

Swali toka kwa mtoto...

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
Watoto bwana huwaga na maswali meengi ambayo yanaumiza kichwa ,hebu tumsaidie kujibu baadhi ya hayo maswali :-
1-kwanini stering ya magari haipo katikati ?
2-kama ng'ombe anatoa maziwa ,kwanini mbuzi hatoi chai ya rangi?
3-kwanini binadamu anatembea kuelekea macho yanapoangalia na si kurudi kwa reverse?
4-eti haijawahi kutokea mtu akarefuka kwa kimo kuelekea chini mbona wanaelekea juu au kuna -ve gravity?
5-dunia inazunguka au jua linazungukwa?
 
Hilo swali namba nne sio la kitoto hata kidogo.
 
Swali la pili kuhusu ng'ombe na mbuzi ndio la kitoto. Mengine kweli yana logical explanation.
Watoto wenye maswali mengi ni smart. It means they anaylize things from an early age.
 
1-kwanini stering ya magari haipo katikati ?

Hili swali nakumbuka nilishawahi kuliuliza nikiwa mtoto, ila sikujibiwa na mpaka leo sijapata jibu lake.... Hivi ni kwa nini?
 
haya mkuu nimepata majibu kuhusu maswali mawili...eti mtu kasema stering ya gari ikiwa katikati then itamuwia ngumu dreva kuziona side mirrors zake,kubalance ukubwa wa gari ....eti umeridhika ama?
 
Back
Top Bottom