Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana

Swali kama ilo naona la kiwaki balaa, au kwa upande wenu wadau swali kama hilo huwa mnalichukuliaje?
Hilo swali lake Liko kinyume na miiko ya Uanaume...

Kuna shida sehem..
 
Mchane Ukweli...Na Nadhani Ndio Atakuwa Na Nidhamu Ya Kutokupigia Simu....Na Akipiga Atakuwa Na Mambo Ya Msingi Ya Kuzungumza..
 
Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana

Swali kama ilo naona la kiwaki balaa, au kwa upande wenu wadau swali kama hilo huwa mnalichukuliaje?
😁Amin maswali haya m nayaona ya kijinga jinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom