Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,864
Reaction score
4,110
Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana

Swali kama ilo naona la kiwaki balaa, au kwa upande wenu wadau swali kama hilo huwa mnalichukuliaje?
 
Kama huna shemeji si unaniambia tu sina, mbona swali la kawaida, na huyo ametumia technic tu kukuuliza maana kwa umri huo unatakiwa kiwa na familia, angekuuliza umeoa??
 
Inaonekana hamna jambo la maana la kuongea kwa hiyo anatafuta unoko tu

Kuna watu wanapenda sana udaku, labda ni mmoja wao

Labda anataka umwambie
Basi bwana tulienda kula sehemu akaiba glass 😜 😂😂( just kidding)
 
Inaonekana hamna jambo la maana la kuongea kwa hiyo anatafuta unoko tu

Kuna watu wanapenda sana udaku, labda ni mmoja wao

Labda anataka umwambie
Basi bwana tulienda kula sehemu akaiba glass 😜 😂😂( just kidding)
yah ni mtu mnoko mnoko wa kufuatilia issues za watu
 
sio wivu ila ni swali ambalo silipendi maana kila akinipigia lazima aniulize ilo swali naona kama lipo personal sana
Kama anauliza mara kwa mara basi hilo ni swali la kiwaki, ila kama ni hamjawasiliana kwa kitambo kidogo basi kapunguza ukali wa kuuliza "umeoa??"
 
Sasa hapo shida nini?
Kwa umri huo ulitaka uulizwe mumeo hajambo au?
ayo maswali uwa mademu ndo wanauliza mwanaume mwenzangu kuniuliza mara kwa mara na hatujaonana kitambo na hatuna ukaribu sana naona kama udaku fulani
 
Ivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote 0level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji ajambo? na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana

Swali kama ilo naona la kiwaki balaa ,au kwa upande wenu wadau swali kama ilo uwa mnalichukuliaje?
Mi mazoea ya kijinga tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom