Swali rahisi lakini gumu kujibika

Swali rahisi lakini gumu kujibika

ha ha ha ha naona unataka kuharibu soko la kaka zangu embu acha bana

Mi siwaharibii ukweli ndio huo, hawajui kujali mke, wao wanajali pesa na pombe, ila jambo la ajabu ukiamua kubwaga manyanga basi wanalia hadi kamasi, kinachofuata hapo ni kuanza kukuganda kama urimbo, kwa kweli kama mtu anafuta mtu wa kumganda hadi akome, ajitose kwa kaka zako. ha haa haaa.
 
ha ha ha ha aiseee basi sawa .. umeamua kuwanganga kaka zangu
 
swali wala xo gumu ila halielewek, wala halionyesh category,
 
wengine x ni mmoja lakini wa hit and run ni zaidi ya 300 huyu naye vipi
 
X = 52*A
Where A= Your Age
Then Find X
Mimi nina miaka 36.
Kwahiyo X yangu ni 1,872
 
Back
Top Bottom