Lusajo11
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 1,887
- 1,970
Hapana hao siyo
Relief kubwa sana hiyo innocence inaongezeka
Hapana hao siyo
Relief kubwa sana hiyo innocence inaongezeka
y-30x=50
find x
Hapana hao siyo
y-30x=50
find x
Maswali ya kitoto.
Badala ya kuulizana malengo na jinsi ya kuyafikia mnaulizana yaliyopita.
Kwani time yote ni ya kuwa silias ukiwa na mwenzio, sometimes mnajitoa akili na kuzinguana with jokes.
Ooh.. kumbe ndio utani mliouchagua?
Basi sawa.
One equation with two unknown. This mathematical problem cant be solved.
X ipo kulia kwa find
y-30x=50
find x
mwee...! kumbe nawe ni mwanamahesabu !
Ha ha ha ha ndiyo mpenzi mpya anauliza ..mi huwa nahisi wamejiandaa kisaikolojia kudanganywa .....swal muhimu ni je unamtu sasa? Ili napo ingia nijue nipo vitani au nirelax kwa sababu kuna wengine bana unakuta ana mpenzi wamegombana hawajaachana alafu anakuomba umpe moyo wako loh ...huu ni ulafi wa mapenzi...
Umeona my, swali muhimu ni una mtu kwa sasa?? lakini habari ya kuulizana ulikuwa na wangapi kwani mnaandikisha sensa.
Sema my hasa sisi wanawake ndio tunashida, yaani unakuta mtu mshaachana lakini bado anakung'ang'ania kama kakuzaa, unakuta huna mapenzi nae na tena na anajua kabisa lakini yupo tu kukuganda kama ulimbo ili mradi tu aonekane bado yupo na wewe, hii nayo ni mtihani mwingine.
ni tatizo la wengi tunaogopa kuonekana eti malaya wakati humpendi
Hili tatizo wanalo sana wanaume wenu wakichaga, Aisee babake kaka zenu ni sheeeedah, wanajua kuganda wanawake hadi kero, Tanzania yote sijaona wakaka wadhaifu kama wakwenu my khaa!!! yaani akikuganda kuchomoka hadi uite winch, sijui wanakuwa na matatizo gani hadi wanakaa kumganda mtu mmoja, ndio maana wanajitoa roho sana.
cc, ufoo saro
ha ha ha ha rafiki usiwachanganye wote aisee .. sema uliyempata wewe bana...kaka zangu wabishi