SWALI: Pete za Bahati!!

SWALI: Pete za Bahati!!

Jaman hebu waacheni hao watu waendelee kuvaa hizo pete maana kuna nuksi nyingine inabidi uvalie na cheni kabisaaa .heri yangu mie nuksi sina,hao wabaya hawaniwezi,wachawi wanankimbia na bahati ninazo mpaka zimepitiliza.sijui hata km ningekuwa na hizo pete ningepata muda wa kuzivaa saa ngapi,maana hii mibahati nliyonayo mmh ..
 

Sitegemei Miungu wengine!

Siamini Kama Pete huweza kusababisha bahati labda kuwe na nguvu za Giza!!

miungu inaandikwa kwa small letter na si capital letter as u did,na hata wnaotegemea miungu mingne for sure wanamaisha mafupi kuliko ya funza,hakuna cha pete za bahati wala nini,anythng that happen in this world happen for a reason.,kama ukifanya juhudi au kuzembea utakuwa tu ktk hali yoyote upendayo .
 
JK kama ni member humu au Sheikh Yahaya wanaweza tujuza.... JK anaweza atoe ushuhuda maana anayo mkono wa kulia, Sheikh Yahaya anatangazaga kuhusu hizo pete...... Mwisho wa siku ni imani uliyonayo..... ndio maana Kibatara - Uganda alichoma waamini akiamini anaenda mbinguni, wengine ni martyrs wanaua wakujia pepo hii hapa kwa kuua wanaowaua.... Wengine wanatembea na watoto/ndugu zao (incest) wakijua utajiri huu hapa.... etc

haitwi kibatara ni kibwetere ,au huyo wako ni mpya.
 
Halafu hizo ishu za pete nishawahi kuzisikia. Tena
Nasikia huwa zinapumua kama binadamu. Khaa!
 
Huo ni ushirikina hakuna tofauti na wavaa hirizi, ni sawa sawa na kuabudu miti tu.

Hua najiuliza maswali hata sipati majibu! Hapo kwenye hizo alama za nyota mbona hamjaelewesha wengine, ni nini maana ya ushirikina?

Na hiyo maana uieleze kwenye imani ipi? Maana duniani kuna nyingi imani.
Ndio tuanze kufafanua.
Hirz(prevention)=kinga.
Nguo zako unazozivaa pia ni hirz=kinga.
Jamani muwe mwafafanua vzuri si wote ni mambumbumbu!!!!lol.
 
Jaman hebu waacheni hao watu waendelee kuvaa hizo pete maana kuna nuksi nyingine inabidi uvalie na cheni kabisaaa .heri yangu mie nuksi sina,hao wabaya hawaniwezi,wachawi wanankimbia na bahati ninazo mpaka zimepitiliza.sijui hata km ningekuwa na hizo pete ningepata muda wa kuzivaa saa ngapi,maana hii mibahati nliyonayo mmh ..

Kuishi zaidi utaona mengi.
Maneno mengine yahitaji ufafanuzi wake.

Sijui nianzie wapi kukufahamisha japo uelewe kidogo. Kwa bahati mbaya haya mabo wanaoelewa ni wachache na wengi wanajinadi na mnaokutana nao ni wachache kwenye ilmu hizi.
Kwanza hizo pete zipo aina 3.
(i)Metal
(ii)Gem
(iii) Paper/Leather/Thread
Na hizi zote zahitaji maana na ufafanuzi.
Ni nini mnasaba wa Metal&Gem?
Hapa ndio utashangaa watu wengi wakielezea.

Sio lazima pia pete uite ya bahati waweza iita ni dawa.
Hizo gems lazima ufahamu zina madini mbali mbali, ukianzia hapa labda utaanza kutafiti zaidi.

Poleni ambao hamjafahamu umuhimu wa hivyo vitu nlivyo taja japo kwa uchache.
 
Ukisikia dini za asili ndo hizo. Wanaabudu mashetani, majini, mapepo, kwa taarifa yako zile pete zina majini au mapepo.

Si unajua shetani aliambiwa na mungu ndie mfalme wa ulimwengu huu, sasa huyo mzee anamtumikia shetani
 
Hua najiuliza maswali hata sipati majibu!
Hapo kwenye hizo alama za nyota mbona hamjaelewesha wengine....ni nini maana ya ushirikina?
Na hiyo maana uieleze kwenye imani ipi?
Maana duniani kuna nyingi imani.
Ndio tuanze kufafanua.
Hirz(prevention)=kinga.
Nguo zako unazozivaa pia ni hirz=kinga.
Jamani muwe mwafafanua vzuri si wote ni mambumbumbu!!!!lol.

Mkuu Hirizi ninayo izungumzia hapa ni ile Azima, na wewe unajuwa wazi kuwa hii kitu ni haramu na ni shirki...! Hii kitu inatumika sana kwa baadhi ya washirikina kwa kuitakidi kuwa na nadharia kuwa huwakinga na mengi. Hii ni nadharia ya makosa kwani mwenye kutukinga na kutulinda ni Allah (Subhaanahu wa Ta'ala) peke Yake. Mwanadamu, mnyama, jini au kiumbe chengine chochote hakiwezi kumdhuru mtu wala kumnufaisha.

Tufahamu kuwa kuvaa hirizi ni kumshirikisha Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) na hiyo ni dhulma iliyo kubwa, amali zote huharibika na ni dhambi ambalo haisamehewi na Allah. Hayo ni kwa mujibu wa kauli za Allah (Subhaanahu wa Ta‘ala):

“Hakika Allaah Hasamehi dhambi ya kushirikishwa na kitu lakini Yeye husamehe yasiyokuwa hayo kwa amtakaye. Na anayemshirikisha Allaah, basi bila shaka yeye amekwishapotea upotofu ulio mbali na haki”
Q 4: 116

Pia: “Na wakumbushe, Luqmaan alipomwambia mwanawe; na hali ya kuwa anampa nasaha. Ewe mwanangu! Usimshirikishe Allah, maana shirki ni dhulma kubwa sana”
Q 31: 13

Miongoni mwa njia za shirki ni kupatiwa hirizi na hayo mapete yanayoitwa ya bahati au kuondoa nuksi. Hawa watu huwadanganya watu kwa kuwasomea kisomo cha uwongo kisha kuwapa hirizi na hizo pete wavae.

Kuhusu hilo Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) anatueleza:
“Mwenye kutungika hirizi hakika amefanya shirki”
(Ahmad na al-Haakim)

Na kauli yake nyingine Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
“Aliyetundika hirizi na mwenye kutungika azima basi Allah Hamtimizii shida yake, na mwenye kutungika azima Allah Hamuondolei alicho nacho”
(Ahmad na al-Haakim, naye akasema Isnadi yake ni sahihi).
 
Jamani mnachafua hali ya hewa hivyo!
Wekeni ushahidi wenu juu ya hilo kuliko kila mtu aseme haifai ama vingine!
Mnakua kama upepo tuuuu!
Hazifai ajili gani?

Kuna membre amejibu vizuri nimemuelewa japo hakueleza kwa urefu zaidi. Tunahitaji hivyo namna ya kuelimishana.

Ubishi huo mnaweza kuupeleka kwenye kuumizana vchwa huko!
 
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguuvu,msaada utaonekana tele wakatii wa maateesoo...nipo church napeleka ibada mi sipo huko.

amen
amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye binadamu kinga yake
 
amen
amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye binadamu kinga yake
Vizuri utuwekee andiko unalonukuu.
Mimi mwenyewe mkristo lakini mambo mengine yahitaji akili zako.

Kumtegemea binadam mwenzio kama vipi? Wachungaji wetu mbona tunawaamini kwa yale wanayotuambia nao ndio kuwategemea?

Hujawaona maaskofu wanazivaa pete?
 
Back
Top Bottom