Mpoki amchamba Chanuo baada ya kufichua siri za aliyekuwa mume wake

Mpoki amchamba Chanuo baada ya kufichua siri za aliyekuwa mume wake

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mchekeshaji Mpoki anafafanua kwa utani mzigo mkubwa wa gharama anaobeba mwanaume kwenye mahusiano, kuanzia hatua za mwanzo za kutongoza na kutoa nauli, hadi kununua pete ya uchumba na kuandaa sherehe .

Anaeleza kuwa katika maisha ya ndoa, mwanaume hubeba gharama za kodi, umeme, gari na saluni, pamoja na kuwahudumia wazazi na ndugu wa pande zote mbili . Katika hitimisho lake, Mpoki anasema inaonekana mwanaume yupo duniani kwa ajili ya kuhudumia mwanamke, hivyo akatoa ushauri wa utani kwamba mtu akiwa single asichezee nafasi hiyo.


​
 
Back
Top Bottom