Swali: Msiba wa Rais hauna watani?

Swali: Msiba wa Rais hauna watani?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Hayati Rais Magufuli ni Msukuma na amekuwa akipita maeneo mengi na kusema ni watani zake, kwa Dar, Wazaramo ni watani zake, Of coz Wasukuma ni watani wa makabila mengi sana nchini.

Kawaida makabila yanataniana wakati wa misiba, sioni watani kwenye msiba huu, au tumeacha desturi zetu, au hawakutoa 'Nguto' (Huu ni msamiati wa Kingoni sijui kama kwenye Kiswahili upo)

Nadhani Mzee alipenda utani, na ni jambo la busara kutoa Nguto ili watani wafanye kazi yao.
 
Watu wana machungu, wameshasahau utani! Ukileta huo ujinga wataondoka na shingo shauri yako! Ww baki nayo hukohuko chumbani kwako ujitanie mwenyewe na kucheka😂😭!
 
Hivi huyo marehemu jiwe hawawezi kumsafirisha kwa usafiri pendwa wa fisi mbaka kwao geita chattle maana huo ndio utamaduni wa gambosh

Mtani nipo siti ya pili!
 
Shughuli yote imehodhiwa na JWTZ, sasa kama kuna mtu anautani na Jeshi tunamtakia kila la kheri.
 
Nadhani wakenya wanafanya huo ujinga nimeona picha ya gazeti lao moja wameandika ujinga
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.

Utani kati ya kabila na kabila ni utamaduni ambao umekuwepo vizazi na vizazi.

Mara nyingi haya mambo ya utani, huwa hayaishii juu juu tu, huwa wanaenda mbali, hata misibani, watu hufanyiana utani.

Sasa kwa kuwa hayati JPM(R.I.P) mara nyingi katika mikutano yake, alikua akijinasibu yeye ni mtani wa makabila fulani fulani (mf.wagogo), katika kuuenzi utani, hayo makabila (watani wake) walitakiwa kwenda kufanya utani msibani Chatto.

kwanza itakua ni njia bora ya kumuenzi marehemu na utamaduni aliokua anaupenda sana.

lakini pia kwa kuwa tumehabarishwa ya kuwa karibia watu billion 4 dunia nzima wanafuatilia msiba huu mzito wa raisi wetu kipenzi, wakiona tukio la utani msibani watakua kwa namna moja au nyingine wamejifunza utamaduni wetu.

Mwili ukiwa unaingia mjini Chatto wauzuie, wafanye mambo yao ya utani kidogo halafu ndo wauruhusu.
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.

Utani kati ya kabila na kabila ni utamaduni ambao umekuwepo vizazi na vizazi.

Mara nyingi haya mambo ya utani, huwa hayaishii juu juu tu, huwa wanaenda mbali, hata misibani, watu hufanyiana utani.

Sasa kwa kuwa hayati JPM(R.I.P) mara nyingi katika mikutano yake, alikua akijinasibu yeye ni mtani wa makabila fulani fulani(mf.wagogo), katika kuuenzi utani, hayo makabila(watani wake) walitakiwa kwenda kufanya utani msibani Chatto.

kwanza itakua ni njia bora ya kumuenzi marehemu na utamaduni aliokua anaupenda sana,

Shemeji zangy mihanyenye wameumia sanani mabahiri ataenda ndugai tuu
 
Mi najua wasukuma watani wao ni wanyamwezi
 
Kuna sehemu na sehemu Mkuu, wagogo wakileta utani kwenye msiba wa Kayafa wanaweza kujikuta korokoroni mpaka siku 21 za maombelezo ziishe! CCM hawataki kabisa maskhara kwenye huu msiba! Wamekua kama Mashabiki wa SIMBA siku watakapofungwa uwanja wa Mkapa, wallah watang'oa viti.

Huu msiba utaondoka na wengi sana.
 
Back
Top Bottom