Swali: Mbagala kumelaaniwa?!

mbagala ndo sehemu niliowah kuish miaka hiyo na mwaka mzima sikuwah kupita mlangoni zaid ya dirishan ili kuingia kwenye daladala na sikuwah kukaa kwenye siti hadi mwisho wasafari.
 
hujui watu wa kule wengi ni waabudu nini ? kule majini tupu yametapakaa ,hayo hutasikia masaki ,osteybay mbezi zote ,kamwe huko kwenye elimu ndogo hukohuko
 
Ilianza Popobawa.

Akatokea Simba mla watu,

Yakaja mabomu,

Mara Msahafu umekojolewa na Makanisa kuchomwa,

Juzi tena watu wamegandana Tigo.

Jamani Mbagala kunanini???
tamaduni za mahali huzaa matukio mahalia!
 
mbagala ndo sehemu niliowah kuish miaka hiyo na mwaka mzima sikuwah kupita mlangoni zaid ya dirishan ili kuingia kwenye daladala na sikuwah kukaa kwenye siti hadi mwisho wasafari.

umezidisha chumvi mkuu!
 
Kuwa muungwana, ungemtumia private messege kuliko kumzodoa hapa barazani. Mwone kwanza

JF tunafundishana tulia wewe mtoto wa Kishihiri upo wapi siku hizi... kesho ilikuwa nije Tanga ila sitoweza namtuma Mtu
 
Kweli mkuu mimi ni mgeni na bado niko Dar hii hii, Kugandana ni Tandika, na hospitali ni Temeke....ila nisahihishwe tu, Hivi Tandika si iko wilaya ya Temeke? kwani sikuona umbali wa mahali hospitali ilipo.
 
aha ha ha..naye wa mbagala.. kamletea matarumbeta kumzodoa mbele za watu

oi oi oi... Jana nilikuwa huko mji wa mbagala ni mkubwa sana na umebanana sana sidhani kama kuna viwanja tena huko hata vya watoto kucheza ila papo down sana low density kwa sana niliingia ndani ndani kumdrop mtu nikakuta madimbwi ya nguvu Gari nilishangaa mvua zinanyesha huko na si town nilizama hadi sehemu iaitwa chalambe... Mbagala kunahitajika liwe Jombo kamili wawe na mbunge wao
 
Ni kati ya sehemu chache hapa Dar zenye wenyeji wengi. Kuuza kiwanja ili tupate hela ya kumcheza mtoto huku ni kawaida sana. Huku ukiniudhi sikupeleki kwa mjumbe, nauza simu, hela nakodia matarumbeta tunakuja kwako kukuchamba. Chezea sisi wewe.
Hii ni kejeli dhahiri pia si lugha ya kiungwana hakuna haya mambo
unayoyataja hapa.
 
hujui watu wa kule wengi ni waabudu nini ? kule majini tupu yametapakaa ,hayo hutasikia masaki ,osteybay mbezi zote ,kamwe huko kwenye elimu ndogo hukohuko
Kumbe na wewe ulikuwa sehemu ya Tatizo.
 
na daladala za mbagara watu wanapitia madirishani...............
"tatizo kwetu mbagaraaaa hapa nyumba hapa jararaaaaaaa".........juuuz singing jamaniiii

Ww nahis utakuw mwenyej wa Kagera (wakuja) penye L umeweka R!
 
Mkuu kwenye hiyo rangi ya bluu ulimaanisha nini, wananchi hatujakupata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…