Hiyo ni kupitia meditation mkuu kuna ile meditative state ambapo hapo ukifika hizo sehemu huwa zinakuja automatic inachukua miezi sita kufanya kila siku bila kupumzika mkuu,Mambo vipi mkuu, eti ni njia ipi rahisi na isiyo na madhara ya kwenda Future au kurudi past?
Mkuu rejea thread niliyochoandika usidokoe baadhi ya sentensi kila mara huwa napenda kuwaeleza hili watu,Sasa bro! Humu sio kila mtu anauliza swali ilimradi ameulizaa wengine tunauliza vitu tunavyo vifanyia kazi.
Na kwenye sentence yako nanukuu "NI MSAADA TU NA TOA INATEGEMEA NA hadhi SWALI LIPO KATIKA HALI IPI"
KWAHAYO MANENO HAPO JUU UNAONESHA DHAHIRI UNACHAGUA MASWALI YA KUYAJIBU NA UNAYO YAJIBU NI YALE MARAHIS SANA BUT QUNTUM QUESTION HUTAKI NA NAJUA UNAJUA 100%
NA SIO MARA YA KWANZA UNAANZISHA UZI WATU WANAFIKIA HATUA YA KUPATA MAJIBU YATAKAYO FUNGUA CODES HAURUDI TENA
NA jua unajua baadhi ya maswli humu mtu anae uliza tu unajuu kabixa huyu yupi kwenye frequency ndogo kabixa na hao ndio mwisho wa siku wanakuita tapeli
Forus imeingiliwa wengine wapo humu wanadhan fb ,
Nilikuwa na shauri mr kama mtu ameuliza swali unaona is not better in public mfate inbox which s not a good thing but ndo tulipo fikia huko
Mkuu, elimu ya majini ipo na inapatikana pia kwenye hadithi za mitume na uwepo wao umetajwa kwenye vitabu vya dini, na kumbukumbu za watu waliowahi kuwaonaHivi elimu kuhusu majini(mashetani,malaika waovu) sie binaadamu tumeipata wapi? maana huwa tunawaelezea sana hao viumbe kuanzia maumbile yao na mambo yao mengine yote,ni wapi tumeyajulia hayo mambo ni kutoka kwao wenyewe au tumejifunzia wapi?
Kupaa ni ngumu dhahiri ila invisible ni rahisi, kumgundua mtu mbaya unaweza vizuri tu, kucontrol maji kama jina la huyo bwana hapo inawezekana lakini unakuwa na msaada wa roho nyingine za mazingaombwe. Unless upo karibu sana na mwenyezi mungu,Kama vile Kupaaa kumgundua m2 mbaya au mzur na kujuwa ki2 kabla m2 ajaongea pia Ku control vi2 kama maji ivo vyote nafanyag ndotoni nauwezo wakufany chochot kule tofaut na huku nataman cku moja nifany mambo ya ndotoni kweny ulimweng huu
Rasik=== Rakims???Kwa ni navyo fahamu mm na kuamin ni kwamba kwanza ya yote kila unacho kifanya kilisha tokea kwanye ulimwengu wa roho, pili ndoto mara nyingi unavyoota na inavyo maanisha ni tofauti, mfano ukianza kufanya meditation ukianza kuelekea kuzuri wengi uota sana ndoto za maji meng na maana yake kwa nilivyo soma your old sour is drying.
Kwenye kupaa hapo 95% najuu haimaanishi una weza kupaa,
Ndoto nying za kupaa muotagi kama ankimbizwa na mitu kibaya(myama) akikimbia mwishoe anajikuta kapaa it means your escaped from danger without you to know.
Kupaa nilisoma soma wengine wana sema ni jini fulani fulani nazani hapa RASIK ANAJUA VIZUR SANA
Ndio mkuu wapo,
RAKIMSRasik=== Rakims???
Anamuacha kwa maana kaisha zungumzia kwenye vitabu vyake kuwa huyo kamuumba kama mtihani kwetu ambao anatupima kwake mkuu, kutokana na kuasi kwake
Nielekez jinzi ya kumsoma m2 mkuu ni2mie njia gan na iyo invisible pia inafanywajeKupaa ni ngumu dhahiri ila invisible ni rahisi, kumgundua mtu mbaya unaweza vizuri tu, kucontrol maji kama jina la huyo bwana hapo inawezekana lakini unakuwa na msaada wa roho nyingine za mazingaombwe. Unless upo karibu sana na mwenyezi mungu,
Rakims
Tatizo sio uwepo wao bali hayo maelezo(elimu) yenye kuwahusu wao. Mfano asili yao,maumbile yao na mengine kuhusu wao.Mkuu, elimu ya majini ipo na inapatikana pia kwenye hadithi za mitume na uwepo wao umetajwa kwenye vitabu vya dini, na kumbukumbu za watu waliowahi kuwaona
Rakims
Ikiwa hivi ndivyo! Ni kwa nini basi mitume wengi hawa kuwa na pesa na ili hali wao wana nguvu za kiroho za hali ya juu?.Ukiwa na nguvu za kiroho kweli yaani mtu ajuaye UKWELI, basi utapata chochote utakacho kwa urahisi sana maana kanuni ya kiroho hufanya kila kitu kwa wepesi na kupitia spiritual facilitation ambayo ni kama machine ya kiroho, Hivyo pesa, maarufu na mengine makubwa zaidi utayapata kirahisi sana.
Katika kuumba mwenyezi ameumba viumbe aina 3:Mungu kwa nini atuwekee mtihani(shetani) ilhali ametuumba yeye na ni dhahili anajuwa uwezo, udhaifu na uimara wa uumbaji wake aliomjalia bin-adamu ?
Tembelea blog yangu nilishaelezea yote hayo mkuuNielekez jinzi ya kumsoma m2 mkuu ni2mie njia gan na iyo invisible pia inafanywaje