Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

Kuzimu kwa maana ya uchawi ni mtu anapochukuliwa na kuanza kuteswa kichawi na kufanyishwa kazi za kishirikina na kutumika kulogwa watu na kutesa au kusumbua watu kwa kushurutishwa na anaye mfuga,

Kuzimu kwa maana ya ulimwengu wa kijini.
Ni pale mtu anapounga makubaliano na shetani harafu akataka kumkatalia kumtii basi huwa anamchukua na kumpeleka kwa wenzie na wanamgawana kama kumbaka,kumtesa,kumsulubu na kumnyonya damu

Kuzimu kwa maana ya dimension ya tatu ni pale mtu anapotoka nje ya mwili na kuwa mwenye vibration ndogo katika astral body yake ambayo humpelekea kuonekana katika dimension hiyo kama mgeni na kuanza kufanyiwa vimbwanga vya kutisha,

Hizo kuzimu zote ni za hapa hapa duniani,

Lakini Kuzimu yenyewe ni pale unapokufa na kupelekwa Jehanam ambapo wanatuhadithia tu mitume na manabii kama walivyoambiwa na Allah kwamba ni kikao kilicho kibaya wala huwezi kukifananisha na kikao chochote kibaya,

Rakims
Asante sana
 
Mfano umelala, ukaamka asubuhi umenyolewa sehemu tofauti za kichwa, ama ukilala unapigana na watu wa ajabu ajabu usiowajua na kuwashinda, lakini wanakuwa wanatumia uchawi kushindana na wewe, na wewe unakuwa unasoma dua ili kushindana nao. Hawa watu ni akina nani?? Mke wangu amekuwa akitokewa na mambo hayo. Na sisi tunamwamini sana Mungu.
 
Ebu zitaje izo 12 nzuri na izo 12 mbaya
Kwanza kabisa unatakiwa ufahamu kwamba kuna nguvu aina 24 kwa ujumla 12 ni za kujenga na 12 za kuharibu, nguvu hizi kila mtu anazo aina 2 zilizowazi na zingine zilizojifunga, baadhi zinaweza kukufanya hivyo na zingine zinaweza kukupoteza kabisa hata akili itategemea una nguvu ipi na unatumia vipi,
Rakims
 
Kwa nini kila wanapozungumziwa majini hunganishwa na masuala ya uchawi ina maana majini wote ni wachawi?
Na kama sio wote wachawi hao majini wachamungu maisha yao yakoje?
Uchawi huungamanishwa na majini kwa maana wachawi wengi hutumia upepo au vivuli au uchawi wa kijini kufanikishia mambo yao ni wachawi wachache wanaotumia elements kama matabibu na pia majini wanafanana kila kitu kama walivyo wanadamu kasoro maumbile na uwezo pamoja na umri mrefu mkuu,

Rakims
 
Maruhani ni viumbe gani?hutokea wapi?
Na je mtu mwenye maruhani anatakiwa afanye nini ili awaelewe vizuri vitu wanavyotaka/Kuna njia ya kuongea nao?
Mkuu,marehani/makudam/mashetani/muwakil/jadu/mizimu n.k
Yote haya ni Majini ili kuweza kuzungumza nao hawa ni viumbe wa roho unatakiwa uzungumze nao kiroho rejea kwenye madundisho yangu nilishazungumzia hili mkuu

Rakims
 
Mfano umelala, ukaamka asubuhi umenyolewa sehemu tofauti za kichwa, ama ukilala unapigana na watu wa ajabu ajabu usiowajua na kuwashinda, lakini wanakuwa wanatumia uchawi kushindana na wewe, na wewe unakuwa unasoma dua ili kushindana nao. Hawa watu ni akina nani?? Mke wangu amekuwa akitokewa na mambo hayo. Na sisi tunamwamini sana Mungu.
Hao ni wachawi mkuu tafuta chumvi ya mawe, pilipili kichaa na vifuu vya nazi ya kuokota takuelekeza cha kufanya ukishapata,
 
Ebu zitaje izo 12 nzuri na izo 12 mbaya
Rejea kwenye blog yangu

rakimsspiritual.blogspot.com

Kisha fungua nguvu za miujiza baada ya kuzijua njoo uniulize hili swali kama utakuwa hujapata majibu ya kujitosheleza mkuu

Rakims
 
Rakims mimi ninaota sana ndoto za kufanya mapenzi,wakati mwingine na mwanamke ninaemjua(nilishawahi kuwa naye kabla) na wakati mwingine nisiemjua,hii ni nini kwa ufahamu wako na nifanye nini ili nisitokewe na hizo ndoto...?
 
Anamuacha kwa maana kaisha zungumzia kwenye vitabu vyake kuwa huyo kamuumba kama mtihani kwetu ambao anatupima kwake mkuu, kutokana na kuasi kwake


Aliyeumbwa na Mungu ni shetani jina au shetani sifa.
 
Habari wanabodi,


Thread hii nimeandaa mahususi kwa ajili ya kujibu na kutoa maelekezo vile nilivyo jaaliwa kuhusu maisha upande wa pili yaani ulimwengu wa kijini kichawi na kimiujiza, ikiwa una swali lolote kuhusu upande huo basi niulize na wanaofahamu zaidi wataweza kuelekeza kupitia Thread hii ikiwa kuna jambo litakuwa gumu basi tutalijadili kwa pamoja,

View attachment 1080884

Rakims
Tangu nakua mpak leo huwa nikikaa naona vitu kama nyuznyuz znazong'aa lakn sion zilipoanzia wala znapoishia zmenizunguka tena sometimes zinachukua eneo kubwa..

Japo cwez kuamua kuziona, hutokea nikikaa nikajisahau. Hii inamaana gan?
 
Nielekeza dawa ya kufuta au kuondoa chale walizoweka WACHAWI kwenye mwili
 
Mkuu Yesu Kristo anachukuliwaje huko kwenye hizo kuzimu zote ulizozitaja.Hata Kama si wa Imani hiyo.
Kama wengine waliofikisha maneno ya Muumba kwa wanadamu pamoja na nguvu zake alizopewa za kufukuza mapepo kwa jina lake, vyovyote utakavyo mtaja kwa dini yako unaweza kufukuzia mapepo na kwa lugha yoyote mkuu

Rakims
 
Rakims mimi ninaota sana ndoto za kufanya mapenzi,wakati mwingine na mwanamke ninaemjua(nilishawahi kuwa naye kabla) na wakati mwingine nisiemjua,hii ni nini kwa ufahamu wako na nifanye nini ili nisitokewe na hizo ndoto...?
Mkuu kwanza kabisa fahamu ya kwamba hizo ndoto huletwa na shetani wa mahaba ambaye ni succubi maarufu kiswahili anaitwa jini mahaba huyu ni mwenye kutumikia sana ngono na unyevu nyevu hivyo ukitaka kumuweka mbali na wewe tafuta mshumaa mweupe uwe unalala nao pia sali kwa imani yako kabla ya kuuwasha usiku

Rakims
 
Aliyeumbwa na Mungu ni shetani jina au shetani sifa.
Ukiweza kutofautisha haya utajua nazungumzia nini:

1: shetani
2: ibilis
3: dajjal

Pia shetani ni lugha tu tunayotumia sisi waswahili kuleta maana lakini asili ya huyo ninaye mzungumzia hapo kwa jina analofahamika ni Ibilis

Rakims
 
Back
Top Bottom