balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,475
- 12,607
Mkuu yule binti binti bado yupo au alishaolewa?Ni simple sana Mkuu ukikuwa utajua wala huitaji kuonyeshwa wala kuuliza barabara huwa zinajiongoza ....kwanza kasomee driving utajifunza kila kitu... kwanza ukiona kibao cha 30speed inamaanisha nini ama uko eneo gani na 80speed Ina maana gani
Google map, bando lako tu na network accessUnakuta mtu anaishi Arusha au anaishi Dodoma then anataka atoke alipo aende mkoa tofauti
Labda tuseme unataka kwenda kigoma,swali langu ni:
Unajuaje njia ya kupita hadi kufika kigoma? au ndio kufata lami moja kwa moja?
Mi najuaga mnafata mabasi kwa nyuma sasa naona itakua haina maana kama utafata bus kwa nyuma,bora upande bus sasa.
Nauliza hivi kwasababu Baba angu ni msafiri sana wa huko mikoani na unakuta kuna mkoa anaenda hajawahi hata kufika.
Nilishaenda nae kipind flani nikahisi labda huko barabarani kuna vibao,ila ajabu ni kwamba sijawahi ona kibao tofauti na vya SPEED LIMIT
ukimuuuliza amejuaje njia,anakujibu kisiasa "ntakwambia ukiwa mkubwa"
Sasa mi naomba kujua nyie waenda mikoani hizo njia mnazijuaje hadi mnafika kabisa mkoa Husika
Maana kuna sehemu unakuta round about halafu njia ziko kama 4 hivi na hazijaandikwa ila mtu hakosei anaingia right way,mnajuaje?
Na ndio mikoa yote sasa nchi nzima,kweli?
Ni kama utani ila umeongea bonge la point.Unafuata line kubwa ya waya wa umeme.
Hahahahaha.....akikua atajua bana. Mi naona tumuache kwanza, au vipi babu?Utoto raha sana..
Hahahaaa Tunaosoma cooment tujuaneView attachment 1227047
aaaah wewe ndio unataka kujua jins ya kwnda sehemu bila kupanda busHahahaaa Tunaosoma cooment tujuaneView attachment 1227047
Kujua jiografia ni nusu ya kufika.Mtu mzima hapotei huchelewa tu kufika.
Hahahaaa Tunaosoma cooment tujuaneView attachment 1227047
Unaishi wapi?Hahahaaa Tunaosoma cooment tujuaneView attachment 1227047
DUU!11 yrs old