Swali lakizushi...

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Ashakum si matusi ndugu zangu.

Nadhani wengi tunauzoefu na vyumba vingi vya vyoo dimension zake, Sasa assume chumba cha choo kingekuwa na ukubwa wa rumu yako unayolala, ungekuwa huru kujisaidia.??
 
Mdogo wangu @mtaly kwanza habari za kupoteana! Inshort tusameheane hii yote ni ktk mishemishe za kidunia.
Khs ulichouliza mi nachelea kukitolea jawabu because hiyo mistyle ya mivyoo ka'rum zilikua ni za wale waliotufyatua sisi (i mean waliotutoa viunoni mwao)
ilikua wakijenga hivyo tena toilet with bathrum humohumo! It means ukikuta kuna anaeoga wewe mwenye haja uta'hold ! Sijui waliwaza nini! Hata hivyo nashindwa kuwaambia neno kwani siamini kama mie nna akili nyingi kumzidi alieni shut mchupo (ejaculate) ovarini.
 
EITHER sijaelewa swali OR sijalielewa kabisa... :confused2:
 

Nashukuru mkuu mambo mengi kwakeli ndiomana tumekuwa adim Jamvini. Lakn hatunabud kumshukuru Allah kwa uzima tulonao.
 
Aaah wapi! Kama umezoea kupupuu kwenye choo cha passport size bila kuona wale nzi wa kidhungu wakubwaaa wa blue, haja lazma igome.
 
Kwani unafikiri hajui?ananioogopa najua karate i have brown belt

Kipindi hiki nimeambiwa nijiepushe na hasira.....Zinaweza kuniletea madhara makubwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…