Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Inawezekana kabisa kuna uwezekano wa asilimia 97.66 zipo sayari mbili tofauti ambazo binadamu wanaishi...haiwezekani kwenye sayari moja watu wakawa wanaangalia tofauti.
Jamaa hawana furaha wala kicheko..
Ni kama wameleta harusi kwenye nyumba yenye msiba wa watoto...na wanatenda kana kwamba hakuna mtoto aliyeuawa...wataenmdakula mapilau huko...hadi vitumbo ndi...
Msibani.