binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,381
- 45,652
Maelezo sahihi kabisa Yoda.Kisichowafurahisha na wanachojali ni kupata aibu tu mbele ya dunia yote lakini hawajali sana waliouwawa kikatili ili wadumishe madaraka yao.