Kimsingi pato la familia linatakiwa litoke kwa mwanaume 100%.
Kama huwezi kuhudumia familia kwa mahitaji yote bora usioe.
Pesa ya mwanamke si ya kutegemea, kwanza huenda anahongwa na wanaume wengine hivyo kukufanya wewe mtegemezi wa pesa za wanaume wenzako kupitia kipochi cha mkeo.
Hawa wanawake wewe waone tu ila usifikiri ni ndugu zako.
Mnakuwa mwili mmoja? mbona watu wanachepuka na kuzaa nje ya ndoa zao?..........Mkuu hawa wanawake jitahidi uwaelewe vizuri,.....wengi wao ni blinders.Kufikiria kuwa kama mwanamke anachangia ktk kipato cha familia basi amehongwa ni tatizo, mnapooana it means you become one, we are both working sasa kwanini tusichangie wote ktk maendeleo ya familia? After all ni familia yetu.
[emoji75]KIPATA CHA FAMILIA NI LAKI MBILI MAANA ATA IYO LAKI TANO HUWEZI KUIJUA MAANA KWA KUIFICHA HAWAJAMBO HAWA WANAWAKE ZETU
Ile 50/50 huwa inaishia kwenye bunge tu na pengine mnakotaka.[emoji205] kwenye familia hamtaki.......ahahaaa the boss wewe mchokozi nadhani bila kuwa mnafiki hapo kipato cha familia ni laki mbili tena hapo hyuo baba asiwe na mchepuko kitu ambacho ni very rare ! tuseme hapo hela ya familia kiuhalisia ni laki moja hivi
Mie ni mwanamke na ninaelewa ninaposema hivyo. Kuchepuka ni kutokujitambua na kutothamini kile ulichokiendea na kutotambua maana ya hicho ulichokiendea(ndoa) kama unatambua wala hili swali lisingekuwa swali kabisa.Mnakuwa mwili mmoja? mbona watu wanachepuka na kuzaa nje ya ndoa zao?..........Mkuu hawa wanawake jitahidi uwaelewe vizuri,.....wengi wao ni blinders.
Kama unachosema ndicho unachokiamini na kukiishi basi heri yako.........Kwangu, mambo niliyoyashuhudia yananizuia kuamini kama wewe.Mie ni mwanamke na ninaelewa ninaposema hivyo. Kuchepua ni kutokujitambua na kutothamini kile ulichokiendea na kutotambua maana ya hicho ulichokiendea(ndoa) kama unatambua wala hili swali lisingekuwa swali kabisa.
Hahaha nimecheka sana Mkuu,....kwamba kuna wenye ndoa wanaishi kama ma roommates?😀😀😀😀😀😀......ila bora tukawa wakweli, ndoa ni kipaji na sidhani kama ni kwa wote.Tehe tehe.
Nashindwa kuona tofauti ya maisha ya wanandoa na 'room mates'.
[emoji28]
Mkuu mkeo akichepuka haimaanishi wanawake wote wanachepuka, mkeo asipochangia pato la familia haimanishi pia kuwa wanawake wote hawachangii.Kama unachosema ndicho unachokiamini na kukiishi basi heri yako.........Kwangu, mambo niliyoyashuhudia yananizuia kuamini kama wewe.
Inashangaza kwakweli.Tehe tehe.
Nashindwa kuona tofauti ya maisha ya wanandoa na 'room mates'.
[emoji28]
Kwa sheria na taratibu zangu pato la familia ni laki 700,000.Wewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Laki saba...