Kwa majibu haya humu, nashukuru mke niliyenaye ni wa kitofauti sana maana naelewa a-z kipato mpaka passcode za atm na life goes on with no prigosh.
Kama hamsaidiani bora uishi pekee tu huku ukikodi mdada na kumpa mimba kisha mnaishiana mtoto akizaliwa.
Kuna mwanamke mmoja alikuwa mfanyabiashara kkoo mikopo kibao mara china mara uganda faida anayopata yake kila kitu chake mumewe hapati kitu nyumba anajenga mwanaume ndo anakomaa alikopa hadi 50ml kakomaaa mara biashara ikawa ngumu access wanataka chao full kudata ndo akajirud kwa mumewe ...duka limekufa hana hela jamaa now ndo anakomaa rejesho la 50 na zaidi..." Kila mwanamke akili yake ni sawa na urefu wa shimo lake"
Shangoo mwana kulyamba.
MuislamDhehebu gani hilo
Hahaaa wewe lohHisia zenu tu
michepuko mingine wala haitumii hela..sanaana ndo inatukopesha tunaleta home
Kama mkiombwa hamtoi...mtakopwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Basi msitumie neno nikopeshe
semeni tu naomba...
kwa kifupi familia ina laki 2 infact kati ya hiyo laki 2 utaombwa hela ya Manjano make up, alafu na umeme umeisha! ha!Wewe mwanaume una laki mbili
Na mkeo ana laki tano....
Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani?
Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani..
hebu wana MMU tutajie majibu kwa mujibu wa uzoefu wako...
Jifunze hesabu tena, kama wanasema 50/50, maana yake kipato cha familia ni 350,000.Itakua 400,000 hila ngoja waje si wanasema 50/50