Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,604
- 272,344
liko kama mkuu wa mashetani hivi ! yakiwemo manyonya damu , masubiani pamoja na mipopobawa yote !
liko kama mkuu wa mashetani hivi ! yakiwemo manyonya damu , masubiani pamoja na mipopobawa yote !
Wewe ni mwehu tu km wehu wengine. Umepiga kiroba chako safi ukaona uje hapa utuachie harufu yako mbayaMimi naifananisha ccm na fisi. Kwamba hata mzoga wa fisi wenzake anaweza kula huku akipiga makelele ya utamu wa mwenzake. Kwa ufupi ccm ni genge la wauza unga( Ritz, JKT, zungu, Nchimbi) wauaji wa wanyama pori na kuuza tembo na twiga(wakina kinana, mariamu kasembe ... majambazi na wauaji(mwigulu nchemba, mkuchika, wasira....) wezi wa kura(Makamba, Lusinde, Nape....) Waropokaji (Ana kinyago, mwakyembe, magufuli......). Kwa maana nyingine kiala aina ya wahalifu wapo ccm na ndiyo maana kinaitwa ni chama cha majambazi.
Kiroba ndio kime comment hapa sio weweCcm ni kama Mchwa. Wanatafuna kila nguzo ya nyumba yetu Tanzania mpaka itaanguka chini. Mwisho watatutafuna sisi wananchi kwa kuuza nchi bila kutuhamisha.
Hizo ni sifa za wauwaji kwa tindikali, sumu na mabomu ie chademaliko kama mkuu wa mashetani hivi ! yakiwemo manyonya damu , masubiani pamoja na mipopobawa yote !
Slaa mwizi wa wake za watu, mbowe mwizi wa fedha za ruzukukuanzia kikwete mpaka mzindakaya..
mwanakijiji mtu uliyefukuzwa nchini kwa uchochezi bado unaitamani tanzania?
wewe tumikishwa tu na wazungu wako huko.
Siku hizi mwanakijiji amechuja kweli
Mkuu Ron, what has Pasco got to do with CCM?!. You need evidence for what?!, tatizo ni wengi humu kutokubali kuupokea ukweli mchungu!, mimi siku zote nasimama na kweli!. Huwezi kuubishia ukweli unless na wewe unapenda kujifariji kwa kujifurahisha na wishful thinking but not reality.Utter rubbish, that's how I've seen and judged CCM!
So, very politely I hereby wish to challenge Pasco and anyone to provide evidences to the contrary.