Swali la kumuuliza Mungu ukifika mbinguni!!

Swali la kumuuliza Mungu ukifika mbinguni!!

mtoa mada,majibu ya maswali yako yanajibika hapahapa duniani. Sitakujibu ila nitakupa swali utafakari,tafakari huku ukijua kuwa mazingira na changamoto za eneo unaloishi huleta akili na maarifa ya kutatua changamoto hizo!Swali: Unadhani nini kingetokea kama waafrika kama tulivyo tungezaliwa ulaya na wazungu wangezaliwa Afrika?
Bado wangeendelea kuwa mbele yetu, je ni changamoto gani na mazingira gani ambayo wenda wenzetu hawakuyapitia na walipata short cut wakafanikiwa..
 
Tunaamini kwamba siku moja tutapaa kwenda mbinguni huku dunia ikisafishwa na wenye dhambi kuondolewa milele. Baada ya dunia kusafishwa mbingu mpya itashuka na ndio makao ya milele kwa wale ambao watafanikiwa kufika nikiwa miongoni mwao. Naamini kuwa tukifika kule tutapata nafasi ya kumuuliza Mungu mwaswali mengiiiii ambayo yanatutatiza kwa macho ya kibinadamu hatuyafahamu na tutaoneshwa uhalisia wa matukio mbalimbali.

Aiseee mbinguni si kwa kukosa kabisa kwa sababu mimi kuna maswali mengiiii yananitatiza halafu majibu hakuna na mengine yanahitaji usomaji wa mawazo ya mwanadamu ambayo ni vigumu kuyafahamu kwa 100%.

Nikiwa kule miongoni mwa maswali ambayo ntamuuliza muumba na muweza wa yote ni,
  • Kwa nini watu weusi tumekuwa wapili wa pili tu kwa kila kitu?
  • Kwa nini mambo mengi na vitu vingi hugunduliwa na mtu mweupe au hufanywa na mtu mweupe then mweusi kazi yake ni matengenezo?
  • Hivi ni kwa nini mtu mweusi ana akili ndogo ya kufikiria na kufanya maamuzi sahihi? Ni kwa nini mtu mweusi yuko nyuma sana kimaendeleo kuliko mtu mweupe?
  • Je ni nini cha ziada alichoongezewa mtu mweupe hadi kumfanya mtu mweusi mtumwa?
  • Kwa nini mtu mweupe kafanya mambo mengi kama kuunda gari, kugundua mashine mbalimbali za kurahisisha kazi, kuandika vitabu vingi ambavyo vinatumika kumdanganya mtu mweusi, na kufanya vitu vingi sana ambapo mtu mweusi kazi yake ni kutumia tu japo kimoja tu alichogundua ambacho mtu mweupe anajiuliza hadi leo na hapati jibu ni kuruka angani kwa kutumia vifaa e.g. ungo, ufagio, koleo n.k!!

Ila ntakuwa na maswali mengi sana nadhani tutakaa mwezi mzima bado nitakuwa namuuliza Mungu juu ya mambo mengi yenye utata. Kwa hapa sitaki kuyamaliza yote wacha nisubiri nikiwa kule.

Je wewe ungemuuliza Mungu maswali yapi? Niambie hapa ili niyaweke kwenye kumbukumbu yawezekana usifike kule ila mimi nitakuwakilisha vyema na maswali yako.

Mtu mweupe (Mzungu-nje ya bara la Africa)
Mtu mweusi (Ndani ya bara la Africa-ukiondoa nchi za kiarabu)
Mtu mweupe alijua Black man ni unique. Sababu ni bara moja tu ndio lina black people. Akaamua kuididimiza mentality yake ili ajihisi ni inferior. Ndio mpaka leo.
Lakini kuna Black people wengi wamefanya great things first katika field mbalimbali. Mfani mmoja ni the first man to operate on a blue baby patient tena bila elimu ya darasani.
 
Mtu mweupe alijua Black man ni unique. Sababu ni bara moja tu ndio lina black people. Akaamua kuididimiza mentality yake ili ajihisi ni inferior. Ndio mpaka leo.
Lakini kuna Black people wengi wamefanya great things first katika field mbalimbali. Mfani mmoja ni the first man to operate on a blue baby patient tena bila elimu ya darasani.
Good but hao ni wachache kati ya wengi ila ingetakiwa kuwa wengi nje ya wachache
 
Kwa nini alituumba binadamu na kuja kutuweka duniani? Kisha akawaletea na changamoto kibao kama magonjwa?
 
Bado wangeendelea kuwa mbele yetu, je ni changamoto gani na mazingira gani ambayo wenda wenzetu hawakuyapitia na walipata short cut wakafanikiwa..
Swali la mwisho...hivi ukizaa mapacha leo huko kijijini kwenu namtumbo,pacha mmoja ukakaa nae ukamlea na kumsomesha hapahapa na pacha mwingine akachukuliwa akapelekwa kulelewa may be USA akasomeshwa huko. Hawa wawili unadhani watakuwa sawasawa ?????Huwa napenda kuwaelewesha watu kwa njia ya kutafakari!!usipoelewa hapa nitashindwa kukuelewesha zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom