Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wanajamvi..!
Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
 
Back
Top Bottom