Swali la kizushi........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la kizushi........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, May 17, 2011.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Sisi sote ni binadamu na kila mmoja wetu ana mapungufu yake,mi naomba niulize kijiswali hiki: Hivi ushawahi kuwa na mahusiano na mtu na na dada yake? na kama wewe ni mwanamke ishawahi kukutokea ukatembea na mtu na kakake? just in case mlibambwa ilikuwaje?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sjawai...aitatokea
  bt nimeona mdada kamchukua mkaka na mdogo wake

  walipoachana na kakamtu akaamia kwa mdogo mtu the same haus ni kwamba bafu,jiko ni lile lile kilichobadirika ni badala ya kuingia chumba cha kushoto akawa anaingia cha kulia...bt swaga ni zilezile mdada hana wasiwasi ni kwa raha zake!!!!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  1.Sijawahi
  2.Sijawahi
  3.Sijui
   
 4. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hata mimi sijawahi.
  ilaa maria huu ni ujasiri au ni akili kutokua timam??
  bora bsi hata huyo kaka/mdogo mtu angkua mbali, nyumba1??
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Niliishawahi... ilitokea nikiwa A level nikawa na demu fulani na nilipofioka Chuo nikawa na demu mwingine. sikujua kama ni ndugu kumbe ni mtu na dada yake maana wa kwanza aliishi mwanza na dada yake dar ila nilifahamu siku za mbele. haikuwa soo saaana maana walielewa ni nini sababu
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Yap..
  Anawatoto wawili
  Lakini aliishia kuwa karibu na
  Mdogo mtu wakaishia kuridhishana
  kimwili na kaka mtu alipofahamu hilo
  Ndio ikawa mwisho wa ndoa yao..
   
 7. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mi niliwahi ila mara moja tu na sikubambwa.
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  the same hausi nakwambia
  afu bdada wasiwasi hana saa ingne wanakaa apo apo seblen na kaka yule wa kwanza
  kaka alimwacha bdada baada ya kumgundua ni kicheche alikuwa amemfumania mpak na babayake mdogo ..yaaan bnt alikuwa anatembea na babamdogo wake sa jamaa kuona ivyo akamwaga mzigo na apo ndipo bwamdogo akaenda kuuokota mzigo...na kila kakamtu anapomwambia wewe u mzgo mzito acha bwamdogo anamjibu ovyooooo eti ni wivu tu unamsumbua.....
   
 9. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  ww ushawahi? ulijisikiaje hebu tujuze
   
 10. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sijawah...

  ila nlipokuwa kabinti kuna aliyenitokea nilipomgomea,
  baada ya muda hiv kaka ake naye akaleta story ile ile, nilimkimbiza mbaya.
   
 11. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie nilona kwa dada zangu walichanganywa bila kujua walipojua mkubwa akamwachia mdogo.

  Na mimi nakuuliza swali la kizushi: Bishanga ulishawahi wewe kuwa na uhusiano wa mtu na mdogo wake
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  patamu hapo!
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu wangu wa karibu yamemkuta.Ilianza kama masikhara tu ,ye ameoa mdogo ,karibu kila weekend wana tabia ya kutoka pamoja,jamaa,mke na ndugu wengine.Yeye anadai shemeji yake ndo alianza kumsuguasugua miguu chini ya meza wakati wanakamata ulabu na baadae isiwe isiwe mwisho walishtukia wanapeana miadi na kuishia gesti(shem naye ana ndoa). Sasa majuzi mme wa dada ndo kamfata mdogo mtu anamwambia 'nisindikize kuna kitu kitu nikauonyeshe' 'nini?' anauliza mdogo mtu,'we twende tu'.Haoooo mpaka farm maeneo ya Kibamba. Kumbe ukware wao walikuwa wanaufanyia kwenye banda la family farm Kibamba.Hilo valangati Mungu ndo anajua,tunavyoongea jamaa mke kahama nyumba,na huko dada mtu katimuliwa,yaani vurugu vurugu sijui itaishaje.
   
 14. A

  Aine JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ee Mungu tusaidie!!
   
 15. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi, naomba Mungu aniepushie nisiwahi. Huwa nashangaa ni vipi mtu anatembea na rafiki ya mume wake achilia mbali kaka/dada. Na unajua kwa nini sitathubutu, namwoneaga huruma mume wangu naona kama atachoreka, rafiki yake/kaka yake/ mdogo wake anifanyie kama yeye anavyonifanyia, halafu ikitokea siku moja tuwe wote hapo yaani mume wangu na huyo mwizi, naona kama baba D wangu atakapokuwa anaongea kitu chochote hata kama kina point huyo mwizi atakuwa anawazia kichwani kwake, haaahhh wapi wewe kitu gani? unachokulaga na mimi ndo hichohicho ninakula sasa kama ni kitamu au ni kichungu mmhhh!!!! Hapana sijisikii vizuru kabisa kutenda hichi kitu kwa mtu wetu wa karibu ambaye najua kwa vyovyote vile ipo siku tutajumuika wote watatu, sitaki na nakemea kwa jina la YESU huyu pepo apishe mbali kabisa na upeo wa macho yangu.
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  wewe ni balaa.....yaani ukawa unabadilisha windows tu....ukatoa windows xp ukaweka windows 7.pc ile ile ( ndugu)
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Mbona unalia?
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mkuu hili siyo swali la kizushi, yapo na yanatokea japo ni kwa uchache sana.

  Niliwahi kusikia kutoka kwa mtu ninaye mwamini, yupo. Hawa walikuwa na mazoea toka utotoni, kaka na dada wanalala kitanda kimoja, wanaoga pamoja na walikuwa na ukaribu sana. Huo mchezo walianza enzi za utoto na walipokuwa wakubwa bado wanaendelea.

  Mbaya zaidi jamaa kaoa na dada yake kaolewa, wakikutana huwa wanakuwa karibu sana na hata wanajifungia. Wifi yake huwa hana wasiwasi nao hajui nyuma ya pazia kuna nini.
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Safina una akili sana. Yaani hiyo ndio silaha pekee inayoweza kukuepusha na majaribu. Na ndio silaha niliyowahi kuitumia baada ya kutiwa majaribuni sana na mke wa rafiki yangu. Kwa kitendo cha kumhurumia mshkaji kwamba nitakuwa namchora, nilifanikiwa kuyashinda majaribu.
   
 20. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ina maana huwa wanafanya ngono zembe? Sijaelewa!
   
Loading...