Napendwa kupita kiasi

Napendwa kupita kiasi

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
937
Reaction score
2,592
Kuna huyu dada nimekuwa kwenye mahusiano nae miezi mi 3 sasa ila cha ajabu ni kwamba ananipa hela kuliko kawaida , hii hali kwa kweli inanitisha muda mwingine hata sijamuomba ila unastukia ka laki hako kwenye simu, sasa naomba kuuliza hii ni kawaida au kuna mtego pengine nawekewa labda jambo baya anataka kunifanyia

Kuna muda nawaza pengine huyu si binadamu wa kawaida na date na Jini.

Je kuna yeyote kashakutana na mtu kama huyu?
 
tulipima tukamuta wote tupo fresh
Sawa mkuu 😁😁
Screenshot_20260612-202108.png
 
Madhara ya malezi ya afrika, Trauma tunazozipitia zinafanya mtu unaona mambo ya msingi/muhimu anayohitaji kupata mtu ni jambo la ajabu.
Eg. ukinisifiwa au akipendwa mtu anashangaa sana
dah basi mimi ndio inanipata hali hiyo hata siamini naona kama nachezewa mchezo hivi
 
Kuna huyu dada nimekuwa kwenye mahusiano nae miezi mi 3 sasa ila cha ajabu ni kwamba ananipa hela kuliko kawaida , hii hali kwa kweli inanitisha muda mwingine hata sijamuomba ila unastukia ka laki hako kwenye simu, sasa naomba kuuliza hii ni kawaida au kuna mtego pengine nawekewa labda jambo baya anataka kunifanyia

Kuna muda nawaza pengine huyu si binadamu wa kawaida na date na Jini.

Je kuna yeyote kashakutana na mtu kama huyu?
Hapana ni jini. Achana naye
 
Back
Top Bottom