Swali la kizushi........

Bishanga hii nimeshuhudia ya mkaka kutembea hadi kuoa nyumba mmoja.. Dada mtu alikua si exposed kama mdogo wake... hivyo mdogo alivyoingia (tena kwa vitimbi) ndo alikua ana control mali zoote pamoja na huyo baba... Bahati mbaya huyo baba na mke mkubwa amefariki kwa maradhi mwaka juzi (walipishana miezi 3)... Mdogo alinyang'anywa kila kitu na wato wa mke mkubwa/dadake maana yeye (mdogo) hakuzaa - unajua tena wadada wa siku hizi na mambo ya usasa...
Hii si hatari?Lakini mi naona hawakumtendea haki kwa sababu alikuwa na ndoa,au hakuwa na makaratasi?
 
nilishawahi...nilianza na dada mtu then akawa ananisifia kwa mdogo wake na marafiki zake kwamba ninam-do vizuri sana (uvinza nipo...tigo nipo...blow job napenda) si ndio mdogo wake (baba mmoja,mama mmoja) akajitongozesha...nikala mzigo!!! frequency ya kula mdogo ikaongezeka maana alikuwa jobless. Zipo siku alikuwa anamsindikiza dada yake gheto kwangu nakula mzigo, mdogo mtu anaangalia movie sitting room then wanarudi home.....the same night mdogo mtu anakuja kulala kwangu!! dada mtu hajagundua hadi leo!! nimeachana nao maana wote wameolewa sasa na sitaki mke wa mtu

DUh! We kiboko!
 
Bishanga (abashaija)!

Mimi nlishawahi kuwa na mahusiano na dada na mdogo wake - nyakati hizo za zamani.. Dada mtu na mimi tulikuwa tunasoma "O" level mkoani Kilimanjaro, shule tofauti tofauti though, kwahiyo katika harakati za kupanda TRENI & tukafahamiana and then boom! Mdogo mtu nilifahamiana naye shule ya msingi nilikuwa nimemtangulia madarasa kadhaa lakini alikuwa jirani kwahiyo ikawa hivyo...

Hii ilitokana na wazazi wetu(mimi na hao mabinti) kuoa wanawake zaidi ya mmoja kwahiyo - binti mdogo alikuwa anakaa kwa mama na binti mkubwa alikuwa anakaa kwa baba - na mimi nilisoma shule ya msingi nikiishi na baba na secondari nikiwa likizo nilienda kumsabai mama! Nilifahamu undugu wao baada ya kumdadisi sana binti mkubwa tukiwa kwenye TRENI kuelekea Moshi... Alikuwa na chuki sana na MAMA yake kiasi cha kutopenda hata kumtaja, lakini mwishowe aliponiambia kuwa Mama yake ni fulani na fulani ni mdogo wake wa "damu" ndiyo ulikuwa mwisho wangu na "wao"
Yaani Mkuu umeanza kugonga toka uko praimari,du,we mkali!
 
Bishanga (abashaija)!

Hivi unamfahamu yule mwanasiasa mkongwe (jirani yako kule Ziwa Magharibi) hapa Bongo aliyefanya kazi na Mwalimu Nyerere alioa mtu na mdogo wake?
Naam naam naam ,tena wa maeneo ya kwetu,hahahahahahahahahaha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom