TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,183
- 12,991
Kwa mwanaume utaandaliwa maji ya kuoga yenye iliki,utabebwa mgongoni mpaka bafuni,utavuliwa nguo ,na kusuguliwa mgongo na mabusu ya haja.mkimaliza kuoga unakuta chakula wali wa nazi tayari kwa maharage ya yenye tui la nazi na nyama ya mbuzi..
Je utahitaji bango la kwa heri hapo?
hii maneno mbona niluvyoenda Tanga sikuikuta? pamoja na kubadilisha mablanketi mara kadhaa....