Mama yangu ana asili ya Tanga nami mambo mengi nimejifunza pale pale Makorora kwa bibi. jibu lako banana man ni hili, wanatanga ni wakarimu sana, wanataka ukifika usirudi tena ulipotoka. karibu TANGA bishanga.
Ni wakarimu sana
Ukienda hawahitaji uondoke!!!!!!!!!!!
Kuna kitu unakitaka wewe...wife The secretary relax,am in Los Angeles,ila Chocs analia kisa eliki na taangaa yake
vavadua......mwaga siri ya mafanikio ya wadada wa Tanga pliz.
Hahahah kumbeee