Swali la kichokozi: Wataalamu wa IT wanatolewa Rwanda,wataalamu wa viwandani watatolewa wapi?

Wataalamu wa Tanzania waendelee kupanda majukwaani kuimba iyenaiyena rais ataleta wataalam wa Rwanda kufanya kazi.
 
Tanzania ni wataalam wa siasa za mdomoni kama unabisha muulize Kigwangala na Mwandosya pia Muhongo na Kapuya na KM wa chadema bila kumsahau eng Mbatia.Hapo hata wewe utaimport wataalam wenye fani zao
 
Back
Top Bottom