Swali la application software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la application software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dazipozi, Oct 13, 2012.

 1. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Swali linasema Hivi

  Explain the benefit of allowing staff who use the application software at the surgery to be involved in developing some of the features and function of the software

  Nimetafuta Google paka basi sijui mimi labda sijui kutafuta naweza Kupata Msaada kidogo ni swali la chuo ilo
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe umepewa assignment uumize kichwa unataka msaada jf
   
 3. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  KWANI VIBAYA?Mx
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mkuu swali la design hii unaweza kusearch google ukamaliza na usipate straight answer coz ni swali linalitegemea sana views zako binafsi...its not a direct answer!!
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,817
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  mbona swali rahisi? Mi nimeelewa hivi kuna umuhimu gani kumjumuisha mtumia software katika utengenezaji wa software?

  Kama linamaanisha hivo nambie nkupe majibu yake au wadau watayamwaga mwengi tu sioni ugumu hapo
   
 6. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Benefit is
  1. They know exact output functions needed for their specific job, this helps to determine what software features need to be added or improved
   
 7. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unaweza kunisaidi kidogo Chifu hata point tano hivi
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,817
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  urahisi wa feedback

  unaweza ukaiita feedback ya papo kwa hapo. Unapodevelop app kuna stage inapitia na moja wapo ni experimental na beta stage. Hapa unawapa watu wanatest app yako na kuireview kabla hujaipeleka sokoni. Sasa kama watu unaowatengenezea unadevelop nao feedback itakua very easy maana wanaitest hapo hapo

  bring new proffesional ideas
  Ukidevelop app yako utakua na idea ya kicode zaidi kuliko kile unachodevelop hasa sector kama hio ya afya. Hapa namanisha kama unajua html haina maana unajua kutibu mtu. Lakini kama unadevelop app na huku upo na wataalam hao wa afya basi watakupa hint za taaluma yao ili ziwemo kwenye hio app ambazo kwa akili zako za kiphp usingezifikiria.

  kinachohitajika ndio kinachotengenezwa
  Na pia hapa unapata idea kua what needed is what developed. Maana unaweza ukafkiri badala yao kumbe upo wrong wao ndo wanaojua wanahitaji nini
   
 9. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante sana sema ingekuwapoa kama ungenipa kwa kingereza zaidi
   
Loading...