Sababu za wazazi kupenda wajukuu wa watoto wa kike

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Salamaaaa?
Hivi ni sababu gani hupelekea wazazi wengi kupendelea wajukuu wa watoto wao wa kike kuliko wale wa watoto wa kiume.Je ni kutokuwa na uhahika wa wa blood kwa wajukuu wa watoto wa kiume ama kasumba
 
Kweli , nawaona Hata Hosp, unakuta Mmama, kaleta Mkuu wake ,mjukuu kazaliwa na Binti wa Mmama.

Wanawapendelea sana, sijui kwann ?.

Sijui wanakua hawaamin wajukuu wa mtoto wao wao Kiume .

Sijui unakuta ni vile nawaonwanajua michezo waloicheza mpaka kupata watoto ?? Kwahiyo wanaona Mjukuu wa Binti, ndio mjukuu wa uhakika?.

Dogo langu limeolewa, ila mtoto wake akipata Shida, Bimkubwa yupo Radhi Aendeshwe mpaka Mkoani huko ,akifika ni yeye ndo atamuuguza mjukuu wake.

Kuna Siku wa kwangu akaugua, namm Niko mbali sana... Huwez Amini , Bi mkubwa wangu ni mpaka Nilimtumia Hela ya Mafuta, alafu bado akawa ananiambiaje, Kazi zangu nitakuachia nani sasa??.

Maajabu, Mama yake na Wife , alivyopigiwa simu tu, Kesho akafika muda huohuo .

Sasa hata Mimi sielewi ni kwann.
 
issue ni kipato tusidanganyane!
mzazi akiiona fursa ya kipato kwa mwanawe mwenye watoto (wajukuu) basi atakuwa nao sambamba kinyume na wajukuu wa mtoto wake ambaye Ni pangu pakavu
huo ni ukweli ambao baadhi wanaukwepa!
 
Salamaaaa?
Hivi ni sababu gani hupelekea wazazi wengi kupendelea wajukuu wa watoto wao wa kike kuliko wale wa watoto wa kiume.Je ni kutokuwa na uhahika wa......ama kasumba
Mkuu hiyo inakuwa kiini macho tu, hakuna Mzazi wa kiafrika awapende wa jukuu wa mtoto wake wakike kuliko wa kiume. Yani ni sawa Wazazi wa kimasai wawapende wajukuu wa mtoto wao wakike aliyezaa na Mzaramo halafu wawachukie wajukuu wa mtoto wao wakiume ambaye atakuwa ni Mmasai.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Kweli , nawaona Hata Hosp, unakuta Mmama, kaleta Mkuu wake ,mjukuu kazaliwa na Binti wa Mmama.

Wanawapendelea sana, sijui kwann ?.

Sijui wanakua hawaamin wajukuu wa mtoto wao wao Kiume .

Sijui unakuta ni vile nawaonwanajua michezo waloicheza mpaka kupata watoto ?? Kwahiyo wanaona Mjukuu wa Binti, ndio mjukuu wa uhakika?.

Dogo langu limeolewa, ila mtoto wake akipata Shida, Bimkubwa yupo Radhi Aendeshwe mpaka Mkoani huko ,akifika ni yeye ndo atamuuguza mjukuu wake.

Kuna Siku wa kwangu akaugua, namm Niko mbali sana... Huwez Amini , Bi mkubwa wangu ni mpaka Nilimtumia Hela ya Mafuta, alafu bado akawa ananiambiaje, Kazi zangu nitakuachia nani sasa??.

Maajabu, Mama yake na Wife , alivyopigiwa simu tu, Kesho akafika muda huohuo .

Sasa hata Mimi sielewi ni kwann.
🤣🤣🤣🤣 mi kachukua wote wawili kusema zaa wengine hao watakuwa wako🤨
 
Lada shida tabia za mkeo.
Mama yako anakwepa kugombana naye au kuwagombanisha nyie.
 
Back
Top Bottom